Simpsons predictions

The Simpsons is my favourite show.
Ni kweli kuna mambo mengi ambayo yanatokea kweli, japo mengine ni photoshop kwa sababu hayapo kwenye episode yoyote.

I wouldn't be surprised if we found out the writers or whoever made the Simpsons are real time travelers tho I still don't believe in time travel.

Kuna episode ambayo Lisa was elected president to fix what trump did. Ngoja tuone labda ni uchaguzi huu.

chaliifrancisco naomba idea yako juu ya time travel. ELI5
 
Mdogo.wangu Paula Paul hiyo avatar ndiyo wewe mwenyewe?
 
Ndio Yaka. Unanifahamu?

Naona umeamua kujipa 'maukubwa'.
Hahaha hapana sikufahamu.
Naona namna unavyochangia michango humu. Honestly, upo simple, frisky, charming na unaandika ngeli nzuri. Furthermore you seem down to earth. I heart you dear!
Kuhusu umri hahaha Paula I know mimi ni mkongwe we amini tu huna namna. Usione haya tunayochangia hakuna namna inabidi twende kasi ya vijana.
 
The Simpsons is my favourite show.
Ni kweli kuna mambo mengi ambayo yanatokea kweli, japo mengine ni photoshop kwa sababu hayapo kwenye episode yoyote.

I wouldn't be surprised if we found out the writers or whoever made the Simpsons are real time travelers tho I still don't believe in time travel.

Kuna episode ambayo Lisa was elected president to fix what trump did. Ngoja tuone labda ni uchaguzi huu.

chaliifrancisco naomba idea yako juu ya time travel. ELI5
Woow!! nimekupenda bure so wadada wa mtaani kwetu wenyewe show za kina mwantumu ndo wanajua huwezi hata kukaa kupiga nao story
 
Hahaha hapana sikufahamu.
Naona namna unavyochangia michango humu. Honestly, upo simple, frisky, charming na unaandika ngeli nzuri. Furthermore you seem down to earth. I heart you dear!
Kuhusu umri hahaha Paula I know mimi ni mkongwe we amini tu huna namna. Usione haya tunayochangia hakuna namna inabidi twende kasi ya vijana.
Ninavoandika vinafanana na hiyo picha?

Nimefurahi kusoma haya, Yaka.
Asante sana, kama kwa maandishi tuu mtu anaweza kuona baadhi ya vitu vizuri kwangu. Ni furaha sana.
Napenda sana kupokea compliment kama hizi.
Have a blessing.
 
Kabisaaa! Vinafanana sana!
Niliumia sana na kutoka na machozi uzi wako khs mama yako.
Inauma sana!
Nakuombea sana kwa Mungu mlezi uwe na mafanikio makubwa sana maishani mwako.
Na upate mema yote ya dunia. Na kila ulalapo ukapate kufunikwa na mbawa za malaika.
 
Duh asante umenikumbusha futurama sijacheki kitambo ila bado nikikumbuka kina Dr farnsworth na robot nacheka mwenyewe.
Hata American Dad na Family Guy pia ziko poa
Hadi American Dad? Nimefurahi sana.
Kuna Thread moja ya Da'Vinci ya kuandika TV shows unazozipenda, niliandika zangu sikuona mwingine anayependa.
Kumbe wewe upo.
 
Back
Top Bottom