Hivi nauli ya kwenda somalia taweza kuwa kiasi gani...siyo mbaya mkanijuza hata ya ethiopia
Duuh..kweli na upofu/uziwi unahusika....na kashkash zote za Somalia, lakini bro unaamua kujipeleka hivyo hivyo....Ngoja tukutafutie ya Turkish nafikiri walianza safari zao huko, vinginevyo katiza hapo kwa jirani Otorong'ong'o...
hata wanaume.......mara moja moja..........
Hapa sasa tunaweza kuongea lugha moja..........KULA BATA.........November ikifika tukumbushane.................
Hata wanaume.......mara moja moja..........
Hivi nauli ya kwenda somalia taweza kuwa kiasi gani...siyo mbaya mkanijuza hata ya ethiopia
Weka alarm kabisa dokta.
hahahaaa sio mara zote?
Uzuri upi mwana
baada ya kusoma comment yako ndio naona hizo kope,weaving na urembo mwingine....mimi nilipofungua hizo picha niliona nyonga tu....mtanzania kawawakilisha dada zetu vizuri.