MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Mtoto wa Tz ana yonga!
duuh, kiuno cha nyigu
Urembo na kujitunza ndio uzaa uzuri kama huo...angekuwa natural kama msitu(dubwana dubwana) huo udenda wa matamanio usingekutoka.
Mtoto wa Tz ana yonga!
duuh, kiuno cha nyigu
Warembo wamependeza!!mruwanda mlimbwende!!
Huyo mtz ni type ya ray lee!!
nifanyie mpango kwa msomali huyo
hahah!!! huu mwaka lazima nipate..mwenyewe ulisemaLol kumbe bado hujasahau tu??
Upate mara ngapi??tamaa tu!!hahah!!! huu mwaka lazima nipate..mwenyewe ulisema
bado banaUpate mara ngapi??tamaa tu!!
Ehhh kweli huyo mwenye dimple kichuna kweli.. ray lee anataka mamodel wenye sura za upole awaonee wasichana wa watu....Tunajua kuchagua warembo 🙂🙂 ukimuangalia tu wala huhitaji hata dakika tatu kujua kama Mungu kampendelea kwa kumuumba na kaumbika, naona leo umeamua kukesha....Good taste
He he he kweli wamejaaliwa!!hawa wtt wengine nadhani waliumbwa siku ya saba..
hao watt hata ukifumba macho na kupapasa tu unajua yaliyomo yamoTunajua kuchagua warembo 🙂🙂 ukimuangalia tu wala huhitaji hata dakika tatu kujua kama Mungu kampendelea kwa kumuumba na kaumbika, naona leo umeamua kukesha....Good taste
We jipofue tu ha ha ha utabeba mizoga!!hao watt hata ukifumba macho na kupapasa tu unajua yaliyomo yamo
hewalaaaa!!!!!.. gorgeousmimi nimepelekwa home
Kudadeki nilijua....unapenda rangi ya chocolate ww ha ha hahapo target msomali..akizingua natua kwa mnyarwanda
He he he kweli wamejaaliwa!!