Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
Thank you God for women, football and beers.
Aaaaacha hiyo weka mbali kabisa
Urembo unachangia kumfanya mwanamke aonekane mzuri.
Dah umeigilizia jibu langu.......aisee ni kweli maana unaweza kuhonga hata roho yako aaaah.....Uzuri wao kama mafuriko huwez kuyazuia kwa mikono
lawalawa....nitakuletea nikija.
Women smell good, they're soft and they have boobs, that's why I don't understand gay men.
Apa hakuna wakunishauli ni addicted kwa mtoto wa cape Verde
Lakin sio kama mwanamke
Mwanamke mzuri na anaweza akakufanya usahau shida zote
And they got good behind too!.Women smell good, they're soft and they have boobs, that's why I don't understand gay men.
Apa hakuna wakunishauli ni addicted kwa mtoto wa cape Verde
Ni sawa ila siyo wanawake wote wako hivyo...hasa kuku wa kienyeji. Ila kuku wa kizungu walio wengi ndio utawakuta kwenye muonekano huo mtamu.
Mkuu sijakuelewa..........
Ni kweli huyo mtoto ana swaga balaaa...alafu juu katupia kitu cha spring curls
Uko update hongera MillionHairs inabidi nikutafute unitafutie mtoto mmoja kama huyo