Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
hewalaaaa!!!!!.. gorgeousmimi nimepelekwa home
Toto limekamilika kila idara teh!
Last edited by a moderator:
hewalaaaa!!!!!.. gorgeousmimi nimepelekwa home
we si umeninyima sophia..ngoja nichague hukuHe he he kweli wamejaaliwa!!
we si umeninyima sophia..ngoja nichague huku
Ngoja nifikiche macho!!wewe huyo??mi mwenyewe mpole ndo mana nataka wapole
hahaha!!! hawezi..pesa ya kwenda kunywa chai dubai ndo inanisumbua..ila sio hizo ndogondogoHumuwezi ww atakuzeesha kabla cku zako!!
siri yako basi..usiongee kwanguvuKudadeki nilijua....unapenda rangi ya chocolate ww ha ha ha
Hata wanaume.......mara moja moja..........
Mtanzania na Cape Verde wanatisha
Wanawake ni viumbe wazuri sana aisee. Asante Muumba.
Siyo mchezo...mtoto amewekwa kope zilizokwenda shule,ana make up ya ukweli na juu ana Malasiyan weaving.
Urembo unachangia mwanamke kuwa mzuri...angekuwa natural kama msitu usingemsifia kiasi hicho.
Mkuu walimbwende wa Cape Verde ni hatari aisee...
Wengi wao wana uchotara wa Kiafrika na Kireno/Kihispaniola...
Wanakuwa wanaonekana kama Wahabeshi vile...
Cape Verde sio eeeeh............
Siyo mchezo...mtoto amewekwa kope zilizokwenda shule,ana make up ya ukweli na juu ana Malasiyan weaving.
Urembo unachangia mwanamke kuwa mzuri...angekuwa natural kama msitu usingemsifia kiasi hicho.
Jamani hiki kiuono cha kitanzania mi lazima nirudi nyumbani tu
![]()
Hehehe...dr wanaume nao huwa wazuri?
Cape Verde nimeiweka rasmi kama sehemu ya kwenda kula vaccation 2016.
.