Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,271
Hauelezeki..........
Halafu wewe umepotea sana bana, hivi huko Yaenda umekumbwa na mafuriko!.
Hauelezeki..........
Rwanda kafunika
Halafu wewe umepotea sana bana, hivi huko Yaenda umekumbwa na mafuriko!.
Yaani nimekumiss mpaka naumwa....Ha ha.......kumbe umenimiss eeeh........
Yaani nimekumiss mpaka naumwa....
Poa...Ngoja mafuriko yapite, labda hilo chocho litaunyaka tena mtandao...Halitakata!.Kuna chocho nimeingia........hili halishiki mtandao.................linakata.........
Kuna swali limeulizwa..kwenda Somalia sh ngapi..tunaomba ufafanuzi
nitakapo wapata hao....Wapi sasa.......Mogadishu.........Hargeisa au Berbera...........?........nauli ni tofauti..........
ujamalizia na neno "ahsante Muumba.Hata wanaume.......mara moja moja..........