Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,461
- 2,425
Halafu mimi sizikumbuki mbona
mara nyingi alikuwa akipost mada zinazohusu wadada wa posta na walivyo warembo...huwa napata picha anajikwaa au kuanguka kabisa akiwashangaa
Halafu mimi sizikumbuki mbona
Ndugu wana MMU,
Natumaini wote ni wazima kabisa wa afya njema. Sijakwepo hapa kwa muda wa kama mwaka hivi, lakini ni matumaini yangu kuwa mijadala inaendelea vizuri.
My Account wa seriously compromised (something like 12 months ban, hii ni sawa na kuwa Guantanamo kwa muda usiojulikana), but thanks God I've gained my originality.
Naomba waungwana mnipe summary ya kinachoendelea humu, what is actually trending?
lara 1, Kaunga, MadameX, madameB, madame A, charminglady, charminggirl, Cynthia Chriss, Mimi49 na Heaven on Earth, etc., (Dada yangu Ablessed), Himidini, .....
Bila shaka kutakuwa na members wapya, na hata labda kuna wa zamani waliokufa - Nawatakia safari njema za kwenda akhera au motoni.
Simplicity.
Simplicity sikamoo
Mkuu karibu sana jukwaani kwa mara nyingine tena.... Naomba nikusahihishe katika ID yangu. Hiyo Charminggirl ilikuwa ID yangu ya zamani but ilileta shida fulani nikauomba uongozi nibadili na ukakubali kubadili na kumerge post zangu. So naomba uedit uzi wako!
Asante nimekumbuka sasamara nyingi alikuwa akipost mada zinazohusu wadada wa posta na walivyo warembo...huwa napata picha anajikwaa au kuanguka kabisa akiwashangaa
Excel nilichochukia mimi ni mods kunichanganya na ID nisiyoijua, wazembe kweli. I'm far better over internet communications than them. Nina hasira nao, ngoja mod mwingine naye aje kuleta ujinga wake, nitafungua blog na kuwapiga picha za uchi wake zao na kuwapublish. Nawafahamu kwa sura na majina.