Simplicity nimerudi

Simplicity nimerudi

Status
Not open for further replies.
Ni uhuni wa mods tu ndio ulichanganya id yangu na ya huyo JF2050, wanajifanya wajuvi wa technolojia mpaka kuona mimi na huyo JF2050 ni mtu mmoja. Ni uhuni tu walifanya hakuna lolote.
unajua ni ngumu kukuamini!!
 
kwanini ikutokee wewe tu kwani ulifanya nn?na mbona Simplicity. orijino alibadili ID akajiita JF2050 nasema hivo kwasababu yupo kwenye listi ya marafiki zangu!!Wewe sio Simplicity. orijino sema umechukua ID yake baada ya yeye mwenyewe kuibadili!!
Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .
 
Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .
Dada Simplicity. orijino mie ninae kwenye list ya marafiki zangu na kabadili ID na hajakuwa BANNED wala nini,huo ndio ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .

Sijawahi kubadili ID yangu, ndio maana nimepigania kuiregain. Kuna tu mod mmoja aliamka asubuhi baada ya kutifuana na mke wake, na kuja kuichanganya ID yangu na ya mtu mwingine.
 
mtume mbona umeshushwa tena kutoka junior member mpaka member teh.....mi naona kizungumkuti...nah i need more proof than that ili nikuamini,bado sikuamini....

Med Dr wangu kwa nini usiniamini? Umeshakuja Bongo?
 
Aisee mbona sielewi sasa upi ni ukweli na upi ni uongo au hizi taarifa zote za kweli kumbe simplicity alibadili jina .

Hii ndo jf ndo mana nilihis hapa kuna kitu

Kwann yeye awe chin ya uangalizi
Ni vigumu kuunganisha ID
Ana id mbili huyu
 
Hii ndo jf ndo mana nilihis hapa kuna kitu

Kwann yeye awe chin ya uangalizi
Ni vigumu kuunganisha ID
Ana id mbili huyu

Kwani kuwa na ID 2 ni issue? Sihitaji ID nyingi ndio maana nasisitiza ID yangu ndio hii, the only one.
 
baada ya kujiwowa na kujitolea mahari sa hiz kuna hii sasa ya ID za zamani kujiua kujifunga jela af kujipa kesi nziiiiiiiiito!
Kongosho n kiki?
 
Last edited by a moderator:
Good to see you back.
Umemuona umukagame? Kuna The bold kule hoja na habari mchanganyiko. Siasani hadi kuna boa, kidogo Jamii intelligence kuna hoja za kusisimua.
Chit chat, sijui sidhani kama kuna mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahaaaaa!
Mwanampotevu umerudi tena??!!!

Ok! Hope u a fine!
Tena zile swaga zako za kimagumashi usiziache!
 
Good to see you back.
Umemuona umukagame? Kuna The bold kule hoja na habari mchanganyiko. Siasani hadi kuna boa, kidogo Jamii intelligence kuna hoja za kusisimua.
Chit chat, sijui sidhani kama kuna mabadiliko.

Poa mkuu kwa kunipa trending. umukagame? New, old, Whois?
 
Last edited by a moderator:
usiwe na wasiwasi hii haiwezi kukutokea wewe wala member mwingine, isipokuwa mimi tu. Nipo chini ya uangalizi mkali, hata verification ya account yangu ilichukua kama wiki nzima hivi, Pia posts zangu zote mpaka moderators waziverify ndio uzione, they take sometime, what a privilege!

Uliwakosea nini mods?
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom