englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Nimeipenda sana hii na hapa ndipo CCM ilipo angukia...
Nimeipenda sana hii na hapa ndipo CCM ilipo angukia...
Eti kuna watu walikuwa wana mfananisha na huyu fisadi bingwa wa kusafiri...Mi nimezimika hii sendo ya mwalimu, nahisi ameazima ya Gibobat kule gehandu:violin:
Dictators wote walianzia taratibu!
Kambarage huyo....nlikuwa napiga nae sala pale st peters obay....very simple man.