Showcase bei 550,000

Showcase bei 550,000

Cantona fundi mkuu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2023
Posts
292
Reaction score
309
showcase simple ya ukutani pia inaweza kuhamishika.
tupe oda boss tukutengenezee Yako.
tupo Dar Mbagala.
0692477610

1791528107439 (1).jpg
 
Wabongo bhana. Kama unaona mwenzio anafaidi sana basi tengeneza na wewe upige hela, hii ni biashara huria
Upumbavu...ndio maana biashara hazikui na kuendelea..... kisa tu mtu unajiwekea bei za ajabu.. hio show case ukienda sehemu nyingine unapata cheaper zaidi ..... bora upate faida kiduchu ama ya wastani biashara itembee uwe na mzunguko mkubwa.... ondoa kinyesi kichwani
 
Bongo nyoso , hapo gharama zote mpaka rangi haizidi 250k, ila wewe unataka 550 sio ? Ungeweka walau 350
🤣🤣 Mzee hapo akuna material yakupigwa rangi apo izo mbao ni melamine board google uonebei zake.. pembeni kushoto ni PVC panels kagoole bei ya pc 1..
Hapo kwny tv ni Mable sheet nayo google bei yake Kisha irudi useme iyo 550k ni sawa au niongeze.
 
Upumbavu...ndio maana biashara hazikui na kuendelea..... kisa tu mtu unajiwekea bei za ajabu.. hio show case ukienda sehemu nyingine unapata cheaper zaidi ..... bora upate faida kiduchu ama ya wastani biashara itembee uwe na mzunguko mkubwa.... ondoa kinyesi kichwani
🤣🤣 Mzee upo mkoa gan maana naweza kukujibu kumbe upo mwinde huko ntakuwa natwanga maji kwny kinu tu
 
🤣🤣 Mzee hapo akuna material yakupigwa rangi apo izo mbao ni melamine board google uonebei zake.. pembeni kushoto ni PVC panels kagoole bei ya pc 1..
Hapo kwny tv ni Mable sheet nayo google bei yake Kisha irudi useme iyo 550k ni sawa au niongeze.
PVC Pannels zipo mpaka 15k wewe umeweka mbili ni 30k

Hicho kikabati cha chini kilicholala wanauzaga 100k mpaka 150k

Kikabati cha kulia kirefu kilichosimama sijui bei yake, ila labda 100k

Ukutani kwe TV ingekua marble yenyewe sawa, lakin kumbe ni zile nylons zimekaa kama mable ukibandika. 2meters haifiki hata 30k

Ufundi ukila hata 50k inakutosha.

Yaan hapo hamna hamna ungepiga hata 360,000/- hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom