nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 528
Atakuwa ndiyo huyo huyo,maana mama wa namna hiyo yupo mmoja tu ndio maza wa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa ndiyo huyo huyo,maana mama wa namna hiyo yupo mmoja tu ndio maza wa jamaa
Twende taratibu ina maana gani?Masikio Yanasikia, tatizo mmekulia ushuani ..vitu km ivo hamuwez kuvisikia.
Sio Huyo..huyu mama ana wakike 4 na kiume mmojaAtakuwa ndiyo huyo huyo,maana mama wa namna hiyo yupo mmoja tu ndio maza wa jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaahhh mzee baba , mtoa mada nadhan atakua ktk postion nzuri ya kukuelekeza.Twende taratibu ina maana gani?
Usiwape cheo au hadhi ya uungu wanadamu.Sio mungu.. andika Mungu.... Halafu wazazi ndio Mungu wa duniani...acha bange
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikazi kupoa mkuu ukitazama . future ya family akuna kitu .Na mama mzazi ndo chanzo chakufanya musiwe Na bound
Uwa najiuliza ivi ni nani ambaye akukaa tumboni kwa mwanamke napata jibu ni Adam Na mkewe.kumbe utalatibu ni mwadamu itabidi akae tomboni kwa mwanamke .sasa kwanini tuwaone kama Mungu wa dunianiUsiwape cheo au hadhi ya uungu wanadamu.
Hakuna Mungu wa duniani labda ni miungu au mungu wa duniani. Kuna Mungu tu ambae ni wa mahali pote sio duniani tu.
Hao wazazi umeagizwa uwaheshimu tu ili upate maisha marefu, heri na baraka hapa duniani.
We acha kabisa...Aisee usiombe yakukute... Ee Mungu tukomboe waja wako... Pole kaka
Ata kama nimkosefu?mama ni mama tuu.......kuna mambo huwa hayatafakariki......pole sana dogo.duh