Simpendi mama yangu mzazi

Simpendi mama yangu mzazi

Natamani kuwa uliza kaka zang je .ukiambiwa ufunge ndoa Na mwanamke mwenye tabia kama za mama utakubari.

Mama yangu kajawa Na chuki .roho ya kisasi .uchonganishi Na mambo ya kujifanya mcha mungu.

Hapa kwenye kujifanya mcha mungu anajikuta kujua nani mchawi nani mwema.

Nikiwa kidato cha kwanza.alimwambia kaka yang kuwa Mimi nimepewa dawa kuzimu ili nisababishe kifo cha kaka yangu. kipindi icho nikiwa Na miaka 15 ivi.
nilichukia Sana nikamfwata kaka Na kumueleza mbona mama anadai Mimi Na kuloga ww.
Kaka jibu alilo nipa ni achana nae .
Baada ya siku tatu nilihugua Na maralia.Mama akadai eti nimepewa azabu kuzimu kwasababu sikutekeleza jukumu lang. Nilishangaa Sana .
Sijawai kuwa mchawi ata nikivua nguo ukuti chale mwilini .sijui dawa za kienyeji Wala kuenda kwa waganga. Adi Leo atuna msusiano mazuri Na kaka.uyu ni kaka yang wa tatu.

Mama kamchonga Nisha kaka yangu wa kwanza Na baba. Kaka Ali mnunia baba kwa miaka saba .ata ivi wanaongea ila bound yao sio nzuri.

Apa mama alimwambia kaka wa Kwanza kuwa baba yako mchawi .amefunga mikataba kuzimu nyinyi musifanikiwe. Baba yako ataki akusomeshe . Baba yako akupendi . Adi kaka wa Kwanza akamwandi Kia barua baba .MANENO ambayo baba ana yakumbuka kwenye iyo barua ni ( DUNIANI KUNA MAWE MENGI LAKINI JIWE MOJA TU LIKU GONGE) apa kaka aliandika kwa lugha ya Malika Elizabeth.

Sio kwamba Baba akupenda kutu somesha ila ni masikini wa kiwango cha lami . Apa najiuliza kama baba akutusomesha je mbona mama pia ajatusomesha.

Kuna siku nilimpigia simu kaka wa kwanza.
Mimi: kaka mbona sisi atufanikiwi Na tupo wengi wa kiume nyumbani .

Kaka wa Kwanza: ww ujui baba yako ni mchawi .ametufunga kuzimu. Ataki tufanikiwe .amekuja kuniloga Na kunichawia ila kwa sababu mm nimeokoka ndo mana ameshindwa .uwa Na pigana naye sana ndotoni.
Kwa kweli niliuzunika sana kuona kaka yangu wa kwanza kameza uongo wa mama.

Mama amenuniana Na ndugu wengi wa baba .Adi mama mkwe wake awaongei.

Ametutenga Nisha Na ukoo wa baba.

Amepaka maneno kuwa bibi yetu mzaa baba mchawi. Tukisubutu kwenda ivo tutalipwa nyama. Ila anadai kwakuwa yeye ni mlokole Basi anatuombea bibi asitule nyama.

Amejawa na chuki.ukienda nyumbani ukampa zawadi baba yeye anachukia sana . Ananuna .pia yeye ni fundi wa polojo mtaa mzima wana jua matatizo yake ya ndoa.

Amemchafua baba mtaani akuna asiye ya fahamu mazaifu ya baba mtaani .nimlopokaji kamchafua Mzee .acha nishie apa tu ila simpendi mama ya pata miezi 2 sijaongea nae .yeye akipiga simu ni kumsimanga baba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana lkn kwa maelezo hayo tu Mama yako ana ugonjwa unaitwa paranoia ni kama aina ya Schizophrenia kama si hivyo hilo ni pepo kabisa wa kwenda ombewa.

Kwa kuanza kwa kumsamehe utakuwa umepiga hatua ndefu sana

Mama ni mama tuu, hata akiwa mchawi.
Kitabu kimoja Kitukufu kimeandika kwamba, 'pepo yako iko chini ya nyayo za mama yako'. Kingine kimeandika, "Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani", na ni amri pekee ambayo imetoa ahadi.
Mambo unayoweza kufanya kwa nafasi yako:
1.Kumuombea sana kwa Mwenyezi Mungu,kila siku omba sana kwamba mama yako abadilike. (Usiache hili)
2.Usimchukie, bali mpende sana na kila unapopata nafasi,hakikisha kwamba unafanya kitu/unaonyesha hisia ya upendo juu yake.
Pole sana. Majaribu unayopitia sio madogo hata kidogo.
kachonjo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandiko yanasema WAHESHIMU Baba yako na Mama yako ili siku zako zipate kua nyingi.
Daima unatakiwa kutambua huyo ndio mama yako na si vinginevyo, epuka kuwa nae karibu na pia jitahidi kupuuza yale unayoona yanaleta mafarakano, makwazo yasije kuinuka na mwisho wa siku ukajikuta umebeba laana bure.
(Watu wa kaliba hiyo ni wepesi sana wa kulaani kuliko kubariki).
Waswahili husema "mbwa wako ukishamjua hakusumbui"

Nb:- Huyo ni mwanamke pia, ishi nae kwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee nmetetemeka sana, Kwakweli kuna wanawake Wabaya , ila kwakua keshakua Mama , atabaki kua mama tu .

Sema nn, kwann msimwambie kua mama ivi na ivi??mwambieni banaa, ujue wanetuzaa lkn haimanisho wao wako sahihi nakwamba kila wakifanyacho nisahihi..ubinadam utabaki kua ubinadamu.

Kwa maelezo haya yoote machache ulotoa nadiriki kusema ktk familia yenu KUNA MLOZI/MCHAWI NDANI YAKE , na hamtokaa mfanikiwe kwa kua Hakuna mchawi mwenye mafanikio .

Nikushaur kitu, Unabidi uanze kusali, salini sana,ili minyororo na maagano ya kishetani yalowekwa na huyu Mlozi juu yenu kwakua analo jasho ,nywele kucha zenu Ikapatwe kufunguliwa na ukae mtu huru ndio mtafanikiwa.

Mama yenu anatumia njia ya Kushambulia ili kuendelea kuwatia Upofu namuendelee kukaa ndani ya shimo lenye kiza kinene.

Nakazia....HAMNA FAMILIA YA MCHAWI AMBAYO INA MAENDELEO !! ...HAIPOO !!
Uchawi wahivo ni fikra tu mkuu.
Na mkiziendekeza zitawafifisha tu.
Huwa siamini kwenye uchawi wa my kukuloga usifanikiwe.

Ila anaweza kukuua tu

Mamako hajaokoka bali anasali kwenye kanisa lenye imani potofu (cult) ni aina ya kanisa la Kibwetere au yule Mchungaji aliyewalisha nyoka waumini wake. Wewe ukimkubali Yesu na kuokoa ndipo utajua tofauti ya wokovu na cult.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kama za mama yangu Nitakubali kabisaa.

Ila Aiseee nmetetemeka sana, Kwakweli kuna wanawake Wabaya , ila kwakua keshakua Mama , atabaki kua mama tu .

Sema nn, kwann msimwambie kua mama ivi na ivi??mwambieni banaa, ujue wanetuzaa lkn haimanisho wao wako sahihi nakwamba kila wakifanyacho nisahihi..ubinadam utabaki kua ubinadamu.

Kwa maelezo haya yoote machache ulotoa nadiriki kusema ktk familia yenu KUNA MLOZI/MCHAWI NDANI YAKE , na hamtokaa mfanikiwe kwa kua Hakuna mchawi mwenye mafanikio .

Nikushaur kitu, Unabidi uanze kusali, salini sana,ili minyororo na maagano ya kishetani yalowekwa na huyu Mlozi juu yenu kwakua analo jasho ,nywele kucha zenu Ikapatwe kufunguliwa na ukae mtu huru ndio mtafanikiwa.

Mama yenu anatumia njia ya Kushambulia ili kuendelea kuwatia Upofu namuendelee kukaa ndani ya shimo lenye kiza kinene.

Nakazia....HAMNA FAMILIA YA MCHAWI AMBAYO INA MAENDELEO !! ...HAIPOO !!
Tume jaribu. Kutaka kumwambia. Lakini kaka wa Kwanza kamkingia kifua .baba alituita Na kutuambia kuwa Mimi Na mama yenu. Tuna matatizo ivo kesho kutwa nitawaitaji tumwambie mama yenu. '''Ooooo kaka akawa mkali kama mbogo. Baba ww muongo unamtesa mama .aikuchukua mda mama kaenda kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana mama yako Ana mapungufu ila si mbaya kiasi cha kumchukia.

Nachoona umeshajenga chuki kati yako na mama yako kiasi ambacho muda wote unaona mabaya yake tu.

HAKUNA KAMA MAMA, NA HAKUNA MAMA WAWILI DUNIANI.

Jitahidi kuangalia yale mambo yake mema itakusaidia kupunguza chuki uliyojijengea ndani yako.

Pia kumbuka kuna watu wanatamani wangekuwa hata na mama kichaa tu ila wawe wanamuona.

Mpende mama yako na muheshimu, ipo siku utatamani hata hayo anayokufanyia afanye mara mbili yake ila HATAKUWEPO TENA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni jinsia ya kike .usije watenganisha baba Na watoto wake .sawa. pitia Uzi wangu wa Kwanza utapata kujua kidonda alicho tupa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama ni mama tuu, hata akiwa mchawi.
Kitabu kimoja Kitukufu kimeandika kwamba, 'pepo yako iko chini ya nyayo za mama yako'. Kingine kimeandika, "Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na heri duniani", na ni amri pekee ambayo imetoa ahadi.
Mambo unayoweza kufanya kwa nafasi yako:
1.Kumuombea sana kwa Mwenyezi Mungu,kila siku omba sana kwamba mama yako abadilike. (Usiache hili)
2.Usimchukie, bali mpende sana na kila unapopata nafasi,hakikisha kwamba unafanya kitu/unaonyesha hisia ya upendo juu yake.
Pole sana. Majaribu unayopitia sio madogo hata kidogo.
kachonjo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa .inaitaji moyo wa chuma.kulipa wema kwa aliye kutendea mabaya.nina moyo wa nyama . maumivu ni mkali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww ni jinsia ya kike .usije watenganisha baba Na watoto wake .sawa. pitia Uzi wangu wa Kwanza utapata kujua kidonda alicho tupa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Machungu yako yote nayaelewa.

Hivyo umekuja hapa ili upate ufumbuzi.

La kwanza ni hilo, anza kuangalia mazuri ya mama yako, hakuna njia itakutoa hapo bila kuanza kuangalia mazuri yake

Cha kwanza waza "mama yangu ananipenda sana, hakuamua kutoa mimba akanizaa" hili ni kubwa kuliko yote.

Then Jaribu kumsamehe kwa kila analofanya, msamehe tu hata akukere vipi wewe msamehe na mwambie Mungu naomba msamehe mama yangu.

Halafu muombe sana kwa Mungu apate ufahamu mwema, omba muda wote unaokuwa na nafasi.

Then japo ni ngumu jenga nae urafiki, akiwa rafiki yako inakuwa ni rahisi kumbadilisha.

Hakuna njia zingine mama yangu, Najua unachopitia na pole sana, Mungu akusimamie.

Ukishindwa jitahidi kukaa mbali nae kabisa awe anakukumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandiko yanasema WAHESHIMU Baba yako na Mama yako ili siku zako zipate kua nyingi.
Daima unatakiwa kutambua huyo ndio mama yako na si vinginevyo, epuka kuwa nae karibu na pia jitahidi kupuuza yale unayoona yanaleta mafarakano, makwazo yasije kuinuka na mwisho wa siku ukajikuta umebeba laana bure.
(Watu wa kaliba hiyo ni wepesi sana wa kulaani kuliko kubariki).
Waswahili husema "mbwa wako ukishamjua hakusumbui"

Nb:- Huyo ni mwanamke pia, ishi nae kwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi mzazi anaweza akakupa laana. Na mungu akacha laana ikupate . daaaah mungu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia yenu ni kama ugonjwa wa malaria, plasmodium wanashambulia ndani ya mwili halafu impact inatokea nje ya mwili pale victim anapo sweat..

Namaanisha, ugomvi unaanzia chumbani afu mapambano yanafanyia nje ya chumba.

Hongera kwa baba kuwa mvumilivu, wenda ungekua katikati ya misitu unatafuta malisho na hujui unaishije katika hii dunia iliyojaa unafki, udhalimu na uzandiki.

Muombe Mungu ailinde na aisimamie familia yenu...

Wasalaam
Satan
 
Ulokole
Natamani kuwa uliza kaka zang je .ukiambiwa ufunge ndoa Na mwanamke mwenye tabia kama za mama utakubari.

Mama yangu kajawa Na chuki .roho ya kisasi .uchonganishi Na mambo ya kujifanya mcha mungu.

Hapa kwenye kujifanya mcha mungu anajikuta kujua nani mchawi nani mwema.

Nikiwa kidato cha kwanza.alimwambia kaka yang kuwa Mimi nimepewa dawa kuzimu ili nisababishe kifo cha kaka yangu. kipindi icho nikiwa Na miaka 15 ivi.
nilichukia Sana nikamfwata kaka Na kumueleza mbona mama anadai Mimi Na kuloga ww.
Kaka jibu alilo nipa ni achana nae .
Baada ya siku tatu nilihugua Na maralia.Mama akadai eti nimepewa azabu kuzimu kwasababu sikutekeleza jukumu lang. Nilishangaa Sana .
Sijawai kuwa mchawi ata nikivua nguo ukuti chale mwilini .sijui dawa za kienyeji Wala kuenda kwa waganga. Adi Leo atuna msusiano mazuri Na kaka.uyu ni kaka yang wa tatu.

Mama kamchonga Nisha kaka yangu wa kwanza Na baba. Kaka Ali mnunia baba kwa miaka saba .ata ivi wanaongea ila bound yao sio nzuri.

Apa mama alimwambia kaka wa Kwanza kuwa baba yako mchawi .amefunga mikataba kuzimu nyinyi musifanikiwe. Baba yako ataki akusomeshe . Baba yako akupendi . Adi kaka wa Kwanza akamwandi Kia barua baba .MANENO ambayo baba ana yakumbuka kwenye iyo barua ni ( DUNIANI KUNA MAWE MENGI LAKINI JIWE MOJA TU LIKU GONGE) apa kaka aliandika kwa lugha ya Malika Elizabeth.

Sio kwamba Baba akupenda kutu somesha ila ni masikini wa kiwango cha lami . Apa najiuliza kama baba akutusomesha je mbona mama pia ajatusomesha.

Kuna siku nilimpigia simu kaka wa kwanza.
Mimi: kaka mbona sisi atufanikiwi Na tupo wengi wa kiume nyumbani .

Kaka wa Kwanza: ww ujui baba yako ni mchawi .ametufunga kuzimu. Ataki tufanikiwe .amekuja kuniloga Na kunichawia ila kwa sababu mm nimeokoka ndo mana ameshindwa .uwa Na pigana naye sana ndotoni.
Kwa kweli niliuzunika sana kuona kaka yangu wa kwanza kameza uongo wa mama.

Mama amenuniana Na ndugu wengi wa baba .Adi mama mkwe wake awaongei.

Ametutenga Nisha Na ukoo wa baba.

Amepaka maneno kuwa bibi yetu mzaa baba mchawi. Tukisubutu kwenda ivo tutalipwa nyama. Ila anadai kwakuwa yeye ni mlokole Basi anatuombea bibi asitule nyama.

Amejawa na chuki.ukienda nyumbani ukampa zawadi baba yeye anachukia sana . Ananuna .pia yeye ni fundi wa polojo mtaa mzima wana jua matatizo yake ya ndoa.

Amemchafua baba mtaani akuna asiye ya fahamu mazaifu ya baba mtaani .nimlopokaji kamchafua Mzee .acha nishie apa tu ila simpendi mama ya pata miezi 2 sijaongea nae .yeye akipiga simu ni kumsimanga baba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulokole ni upumbavu, wengi wanaokuwa wanga ndo wahudhuriaji kanisan. Pole mdogo wangu, kuna kina mama wanauzi unataman ungezaliwa na mbuz
 
Back
Top Bottom