Simpendi mama yangu mzazi

Simpendi mama yangu mzazi

Ndugu rudi tu kwa Muumba wako umuombe akusaidie, msamehe mama yako na uoneshe upendo juu yake. Anza kuwaza mema juu yake, muombee sana ili mzigo mzito alionao autue kwa Yesu...
 
Pole sana..wamama wa ivi ni waharibifu sana.wanaangamiza familia..kaka yamo kafungwa naye. Mnashangaa kumbe mchawi ndio huyo huyo mama..tabia za kichawi zipo wazi sana ..vitu aanavyofanya ni uchawi tosha...uharibifu kabisa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maombi yataweka mambo hadharani. .ila chuki haitasaidia......usimuache atawale ubongo wenu..maana ana defensive mechanisma ya kushambuliabkusema baba mbaya..ili ajifiche vizuri....haya mambo si mageni kabisa...na ahwezibakawa sawa akawa anamsimanga baba yenu ambaye ni mume wake kwa watu nje..yani anamdhalilisha..ili aonekane ye yuko sawa au sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kama za mama yangu Nitakubali kabisaa.

Ila Aiseee nmetetemeka sana, Kwakweli kuna wanawake Wabaya , ila kwakua keshakua Mama , atabaki kua mama tu .

Sema nn, kwann msimwambie kua mama ivi na ivi??mwambieni banaa, ujue wanetuzaa lkn haimanisho wao wako sahihi nakwamba kila wakifanyacho nisahihi..ubinadam utabaki kua ubinadamu.

Kwa maelezo haya yoote machache ulotoa nadiriki kusema ktk familia yenu KUNA MLOZI/MCHAWI NDANI YAKE , na hamtokaa mfanikiwe kwa kua Hakuna mchawi mwenye mafanikio .

Nikushaur kitu, Unabidi uanze kusali, salini sana,ili minyororo na maagano ya kishetani yalowekwa na huyu Mlozi juu yenu kwakua analo jasho ,nywele kucha zenu Ikapatwe kufunguliwa na ukae mtu huru ndio mtafanikiwa.

Mama yenu anatumia njia ya Kushambulia ili kuendelea kuwatia Upofu namuendelee kukaa ndani ya shimo lenye kiza kinene.

Nakazia....HAMNA FAMILIA YA MCHAWI AMBAYO INA MAENDELEO !! ...HAIPOO !!
Umenena vyema ni kukata minyororo na kumuweka mama yao kati kumpa ukweli bila kugombana italeta nafuu na kubadilisha maisha yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama atakuwa mlokole tu...maana walokole wanalishwa habari za kuzimu bila hata kuzifahamu na wanahamaki kweli kana kwamaba yesu alikuja kujishindana na kuzimu ma sio kuoneza Neno la Mungu...wao kila kitu kulogwa.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natamani kuwa uliza kaka zang je .ukiambiwa ufunge ndoa Na mwanamke mwenye tabia kama za mama utakubari.

Mama yangu kajawa Na chuki .roho ya kisasi .uchonganishi Na mambo ya kujifanya mcha mungu.

Hapa kwenye kujifanya mcha mungu anajikuta kujua nani mchawi nani mwema.

Nikiwa kidato cha kwanza.alimwambia kaka yang kuwa Mimi nimepewa dawa kuzimu ili nisababishe kifo cha kaka yangu. kipindi icho nikiwa Na miaka 15 ivi.
nilichukia Sana nikamfwata kaka Na kumueleza mbona mama anadai Mimi Na kuloga ww.
Kaka jibu alilo nipa ni achana nae .
Baada ya siku tatu nilihugua Na maralia.Mama akadai eti nimepewa azabu kuzimu kwasababu sikutekeleza jukumu lang. Nilishangaa Sana .
Sijawai kuwa mchawi ata nikivua nguo ukuti chale mwilini .sijui dawa za kienyeji Wala kuenda kwa waganga. Adi Leo atuna msusiano mazuri Na kaka.uyu ni kaka yang wa tatu.

Mama kamchonga Nisha kaka yangu wa kwanza Na baba. Kaka Ali mnunia baba kwa miaka saba .ata ivi wanaongea ila bound yao sio nzuri.

Apa mama alimwambia kaka wa Kwanza kuwa baba yako mchawi .amefunga mikataba kuzimu nyinyi musifanikiwe. Baba yako ataki akusomeshe . Baba yako akupendi . Adi kaka wa Kwanza akamwandi Kia barua baba .MANENO ambayo baba ana yakumbuka kwenye iyo barua ni ( DUNIANI KUNA MAWE MENGI LAKINI JIWE MOJA TU LIKU GONGE) apa kaka aliandika kwa lugha ya Malika Elizabeth.

Sio kwamba Baba akupenda kutu somesha ila ni masikini wa kiwango cha lami . Apa najiuliza kama baba akutusomesha je mbona mama pia ajatusomesha.

Kuna siku nilimpigia simu kaka wa kwanza.
Mimi: kaka mbona sisi atufanikiwi Na tupo wengi wa kiume nyumbani .

Kaka wa Kwanza: ww ujui baba yako ni mchawi .ametufunga kuzimu. Ataki tufanikiwe .amekuja kuniloga Na kunichawia ila kwa sababu mm nimeokoka ndo mana ameshindwa .uwa Na pigana naye sana ndotoni.
Kwa kweli niliuzunika sana kuona kaka yangu wa kwanza kameza uongo wa mama.

Mama amenuniana Na ndugu wengi wa baba .Adi mama mkwe wake awaongei.


Ametutenga Nisha Na ukoo wa baba.

Amepaka maneno kuwa bibi yetu mzaa baba mchawi. Tukisubutu kwenda ivo tutalipwa nyama. Ila anadai kwakuwa yeye ni mlokole Basi anatuombea bibi asitule nyama.

Amejawa na chuki.ukienda nyumbani ukampa zawadi baba yeye anachukia sana . Ananuna .pia yeye ni fundi wa polojo mtaa mzima wana jua matatizo yake ya ndoa.

Amemchafua baba mtaani akuna asiye ya fahamu mazaifu ya baba mtaani .nimlopokaji kamchafua Mzee .acha nishie apa tu ila simpendi mama ya pata miezi 2 sijaongea nae .yeye akipiga simu ni kumsimanga baba tu



Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ina mambooo aiseee
 
Pole sana, huyo mama kawa mzee wa busara..
Skia kijana, mama ni mama hata kama mchawi, ameokoka, hakupendi, hata iweje, kama kweli angekuchukia angeitoa mimba yako, lakini sio hivyo.

Ushauri, usha kuwa mtumzima, kutokana na hio situation, nenda mbali katafute maisha yako kwanza, kaa na mama mbali, owa, zaa watoto, move on, kwa sasa usiwe karibu na familia hio, kwa sababu itakuja kuleta athari hata kwa family yako na watoto wako.

Usimwambie mkeo na watoto wako kuhusu mama yako mzazi wala kuhusu ndugu zako.

Huo ugomvi wa wazee between them waachie mwenyewe.

Move on, one day mama akiwa hai atakukumbuka wewe ni mtoto wake, na kama akifariki muombee dua tu. Mtihani mkubwa huo.

Radhi ya mama ni kubwa mno, ndio maana nikasema kaa mbali na family jenga family yako, Acha mambo ya traditional move on.

Pole sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo kawaida yao kina mama, watoto wakishakua wakubwa na kujitegemea huanza kupiga simu na kumsemelea vibaya baba kwa watoto. Mfano mzuri ni mama yangu mzazi.
 
Pole sana tena sana, najaribu kuvaa viatu vyako vinanishinda, Mungu akusaidie, na njia pekee ya kutoka kwenye hilo ni maombi tu, si rahisi kusamehe wewe kama wewe, ila unahitaji Rehema na Neema ya Mungu, unaweza kujaribu sala hii (Baba katika jina la Yesu, nakiri kwamba nimekutenda dhambi kwa kutokumsamehe mama yangu kwa yale yote aliyonitendea na kunikosea, Nimemuhukumu, Kumtuhumu na wakati mwingine hata kumkwaza, natubu Mungu wangu naomba Unisamehe pia nakiri kushindwa kumsamehe bila msaada wako, kutoka moyoni mwangu leo namsamehe. Vile vyote alivyonitendea navileta kwako, Baba wa mbinguni naomba umsamehe kwa yote aliyonikosea, namuachilia kabisa naomba umbariki na kumuongoza kukujua wewe. Katika jina la Yesu naomba na kushukuru. Amen)
 
Back
Top Bottom