Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,827
Daaahh aisee ,unazidi kunikosesha usingizi hapa,, hii ndo unasikia Eric shigongo anasema "Mama yangu anakula nyama za watu"..hizi mambo ni Really kabisa.Tume jaribu. Kutaka kumwambia. Lakini kaka wa Kwanza kamkingia kifua .baba alituita Na kutuambia kuwa Mimi Na mama yenu. Tuna matatizo ivo kesho kutwa nitawaitaji tumwambie mama yenu. '''Ooooo kaka akawa mkali kama mbogo. Baba ww muongo unamtesa mama .aikuchukua mda mama kaenda kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana, Sasa tumeshaona Tatizo ni Mama, mama ndio changamoto pekee inayowasambaratisha, ,,aya ndo nanyinyi Mmeshia kusema tatizo ni mama Bila kuchukua hatua?? .
Mie nakupa Njia ya kukwepana nahaya yote , Anza kusali ,anza kusali na usome biblia ,Yupo Yesu ambaye , Mama yule alokua anavujwa damu uken miaka 14 aliposmsogelea na kwa iman akagusa Vazi lake tuu ,na Damu ikakoma hapo hapo na Akapona.
Kwa suala kama hili, Wagangaz watabiri, watu wa majini hawatokaa kukuokoa wewe wala baba yako wala kaka zako wala mama yako wala familia nzima, sana sana Mtazidi kuchukiana na mipasuko ndani yako.
Mfuate Yesu , Usali , Yesu yeye anampenda kuanzia Baba yako mpaka mama mpaka mdogo wako na mababu, Ukimfuata Yesu maana yake umeenda kuponywa, umeenda kuumbwa upya, unaenda kufunguliwa, ukimfuata yesu hata kuzimu wanatetemeka !!
Aisee Mfate yesu ,Hutokaa Uhisi tena matatizo !!..hiyo ndo tiba nayokushauri.....kuongea sana, kulia sana hakutokaa kukusaidie.
Piga hatua, Mfuate Yesu ...JESUS CHRIST!!