Simpendi mama yangu mzazi

Simpendi mama yangu mzazi

Haya mambo yapo lakini.

Pole sana Kiongozi.

Nashukuru sana WAZAZI wangu wawili wameridhiana.

Yaani tokea Mie HARUFU sijaletwa hapa ULIMWENGUNI, mpaka mie HARUFU naletwa hapa ULIMWENGUNI, hadi kufikia Mie HARUFU kupata AKILI, na mpaka kufikia hivi sasa tunavyoongea WAZAZI wangu wawili bado wapo pamoja.

Kwa kweli WAZAZI wangu nawaonea sana WIVU.

Mwenyezi MUNGU azidi kunitunzia WAZAZI wangu wawili.

Mwenyezi MUNGU azidi kuwapa AFYA njema WAZAZI wangu wawili
 
Pengine mama yako ndio ana matatizo ameshindwa kwako Kwa kuwa Mungu anakusudi na wewe, hivo amewafanya wenzako waone kila unachowaambia au kufanya ni kibaya.

Upo kwenye vita ndugu yangu ya kifamilia na wewe ndio star /sterling wa vita hii, omba Mungu akuongoze katika vita hiyo kaka naamini ukimuomba Mungu atakusaidia na utafanikiwa hatimaye mtakuwa kitu kimoja..

Sorry sijamshitumu mama bali tu nimehisi (ndio maana nimetumia neno pengine).

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yangu wa kwanza .ananiita mvuta Bangi.kaka yangu wa nne ananiita mjuaji. Pia karibia wote tume chukua tabia ya mama ya ubinafsi .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo yapo lakini.

Pole sana Kiongozi.

Nashukuru sana WAZAZI wangu wawili wameridhiana.

Yaani tokea Mie HARUFU sijaletwa hapa ULIMWENGUNI, mpaka mie HARUFU naletwa hapa ULIMWENGUNI, hadi kufikia Mie HARUFU kupata AKILI, na mpaka kufikia hivi sasa tunavyoongea WAZAZI wangu wawili bado wapo pamoja.

Kwa kweli WAZAZI wangu nawaonea sana WIVU.

Mwenyezi MUNGU azidi kunitunzia WAZAZI wangu wawili.

Mwenyezi MUNGU azidi kuwapa AFYA njema WAZAZI wangu wawili
Wapende sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka yangu wa kwanza .ananiita mvuta Bangi.kaka yangu wa nne ananiita mjuaji. Pia karibia wote tume chukua tabia ya mama ya ubinafsi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kupambana, kumshirikisha Mungu katika yote unayopitia, yani wewe unanguvu na Mungu anataka kukutumia wewe kwenye uokoaji wa jahazi but Kuna mtu amegundua wewe unanguvu hivo unajitambua sasa atafanyaje kuku let down ni lazima atumie watu wengi awawekee giza wakuone kama hii ni taka taka inazingua nini mbele yetu.....

So mambo ndo yanaenda hivyo yani wameshindwa Kwa mambo yao wanataka wakuvuruge kisaikolojia sasa either miongoni mwenu wana family au watu wa nje ambao hawaipendi family yenu..

Pambana wakati baba yupo, inaonekana wewe na baba yako ndio mnazuia kitu fulani kufanyika..

Soma biblia pigisha vistori vya mafumbo kiasi Ukiwa home, jitahidi uwachekeshe ili uwaone na kusoma zaidi tabia zao huku Mungu akikupa uwezo wa kusolve tatizo na ukasaidika kupitia kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mama yako anakufanyia hivyo unafikiri nani atakaye kufanyika mema zaidi yake hauna sababu ya kumchukia mzazi wako vinginevyo dhambi na laana inakuotea mlangoni inakupasa uishinde!.
Je wewe unajua wanakuchukia ni wangapi usiowaona sembuse huyo mzazi aliyekuleta hapa duniani ?
SOLUTION:
NENDA MBALI KAISHI HUKO MPAKA ATAKAPOKUHITAJI BUT SIO UMCHUKIE!

Ni seme asante mkuu .pia mungu aniongoze katika ili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mama yako anakufanyia hivyo unafikiri nani atakaye kufanyika mema zaidi yake hauna sababu ya kumchukia mzazi wako vinginevyo dhambi na laana inakuotea mlangoni inakupasa uishinde!.
Je wewe unajua wanakuchukia ni wangapi usiowaona sembuse huyo mzazi aliyekuleta hapa duniani ?
SOLUTION:
NENDA MBALI KAISHI HUKO MPAKA ATAKAPOKUHITAJI BUT SIO UMCHUKIE!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmechelewa sana kumfahamu mpaka mmegombana familia nzima. Na nina wasiwasi bado hamjamjua vzuri huyo mamaenu.

Akina mama wengi sana wapo hivyo, wamepagawa na shetani. Wengine wanageuza watoto wao misukule. Hapo ulipofikia si haba, mshukuru Mungu. Achana nae, timka kaishi maisha yako.

Akina mama wengi tu hawana busara, hawajui kwamba wajibu wao wa kuzaa wamepewa na Mungu, wanazani ni ujuzi wao wenyewe. Wanataka watukuzwe duniani na mbinguni. Wanazani wao ndo mwisho wa kila kitu kwa watoto wao, hawajui yupo Mungu wa kweli.

Wengine wanachukua jukumu la kuwa mama bila maandalizi wanaishia kuwa mandezi tu. Ndugu mwana JF, ukipata mama anaekaa katika nafasi yake kama mama aisee mshukuru sana Mungu, ni adimu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikupongeze umesimama imara, ila huna haja ya kumchukia kwa yale yote aliyofanya, kitu ulichofanikiwa na wenzako wakashindwa ni kupuuza maneno maneno ya mama.
Kaka zako wameshakuwa brainwashed na maneno ya mama yenu, na kama ndio wametumbukia kule kwa wapendwa ndo na moto wanachocheana, fanya mambo yako puuza hayo mengine, show respect kwake kama mzazi.
Usihangaike kumbadilisha utachoka bure na kuumiza kichwa chako bure maana hivyo ndivyo alivyo.
 
We mama akipayuka ujinga na imani za kichawi ignore tu mradi hauna imani za kichawi,afu issue za yeye kumsimanga Baba waachie wao labda kama kuna madhara makubwa yatatokea ndiyo ingilia kati kwa manufaa ya familia,afu issue ukimnunulia Baba zawadi ananuna isikusumbue kwani haujafanya kosa lolote,kumbuka haya matatizo solution yake siyo pesa bali ni uvumilivu.Nakupa mfano wa mchezaji mmoja anaitwa Adebayor yeye alikuwa tajiri na alimpa mama yake kila kitu lakini mama yake akuridhika na kudai pesa aliyokuwa anapewa ni ndogo mpaka kufikia hatua akapost kwenye Facebook page yake kuwa mama yake amemroga na kufanya kiwango chake kupungue,vumilia ni changamoto tu.
 
Baada ya kusoma na kumaliza nimegundua wewe ni binti muuza visheti,sambusa, kababu,kachori,donuts pale Komesho Tanga Transformer.
I'm sorry mimi sio mganga so naweza kuwa nimekosea pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama huyo maza ako ni mturutumbi mcharange mapanga tu. Hivyo yani
 
Back
Top Bottom