Simpendi mama yangu mzazi

Simpendi mama yangu mzazi

Mimi nachoomba ni usitaje tu kabila la mama usije wapa tabu dada zetu humu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Natamani kuwa uliza kaka zang je .ukiambiwa ufunge ndoa Na mwanamke mwenye tabia kama za mama utakubari.

Mama yangu kajawa Na chuki .roho ya kisasi .uchonganishi Na mambo ya kujifanya mcha mungu.

Hapa kwenye kujifanya mcha mungu anajikuta kujua nani mchawi nani mwema.

Nikiwa kidato cha kwanza.alimwambia kaka yang kuwa Mimi nimepewa dawa kuzimu ili nisababishe kifo cha kaka yangu. kipindi icho nikiwa Na miaka 15 ivi.
nilichukia Sana nikamfwata kaka Na kumueleza mbona mama anadai Mimi Na kuloga ww.
Kaka jibu alilo nipa ni achana nae .
Baada ya siku tatu nilihugua Na maralia.Mama akadai eti nimepewa azabu kuzimu kwasababu sikutekeleza jukumu lang. Nilishangaa Sana .
Sijawai kuwa mchawi ata nikivua nguo ukuti chale mwilini .sijui dawa za kienyeji Wala kuenda kwa waganga. Adi Leo atuna msusiano mazuri Na kaka.uyu ni kaka yang wa tatu.

Mama kamchonga Nisha kaka yangu wa kwanza Na baba. Kaka Ali mnunia baba kwa miaka saba .ata ivi wanaongea ila bound yao sio nzuri.

Apa mama alimwambia kaka wa Kwanza kuwa baba yako mchawi .amefunga mikataba kuzimu nyinyi musifanikiwe. Baba yako ataki akusomeshe . Baba yako akupendi . Adi kaka wa Kwanza akamwandi Kia barua baba .MANENO ambayo baba ana yakumbuka kwenye iyo barua ni ( DUNIANI KUNA MAWE MENGI LAKINI JIWE MOJA TU LIKU GONGE) apa kaka aliandika kwa lugha ya Malika Elizabeth.

Sio kwamba Baba akupenda kutu somesha ila ni masikini wa kiwango cha lami . Apa najiuliza kama baba akutusomesha je mbona mama pia ajatusomesha.

Kuna siku nilimpigia simu kaka wa kwanza.
Mimi: kaka mbona sisi atufanikiwi Na tupo wengi wa kiume nyumbani .

Kaka wa Kwanza: ww ujui baba yako ni mchawi .ametufunga kuzimu. Ataki tufanikiwe .amekuja kuniloga Na kunichawia ila kwa sababu mm nimeokoka ndo mana ameshindwa .uwa Na pigana naye sana ndotoni.
Kwa kweli niliuzunika sana kuona kaka yangu wa kwanza kameza uongo wa mama.

Mama amenuniana Na ndugu wengi wa baba .Adi mama mkwe wake awaongei.


Ametutenga Nisha Na ukoo wa baba.

Amepaka maneno kuwa bibi yetu mzaa baba mchawi. Tukisubutu kwenda ivo tutalipwa nyama. Ila anadai kwakuwa yeye ni mlokole Basi anatuombea bibi asitule nyama.

Amejawa na chuki.ukienda nyumbani ukampa zawadi baba yeye anachukia sana . Ananuna .pia yeye ni fundi wa polojo mtaa mzima wana jua matatizo yake ya ndoa.

Amemchafua baba mtaani akuna asiye ya fahamu mazaifu ya baba mtaani .nimlopokaji kamchafua Mzee .acha nishie apa tu ila simpendi mama ya pata miezi 2 sijaongea nae .yeye akipiga simu ni kumsimanga baba tu



Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka mama ni mtu wa pwani. Yaani yeye kwake vuruguvurugu hizo ndio raha yake ilipo.
Mkwepe kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ndugu yangu wazazi ni wetu na tumeagizwa kuwaheshimu na kuwatii na kuwa wanyenyekevu kwao kutoka kwenye maandiko matakatifu , ila ukweli inafika hatua wazazi wanatuumiza mioyo pia . Mungu pekee ndiye mwenye kalamu ya hukumu, inaiuma sana.Mungu atusaidie ili tuzidi kuwaombea .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kuandika hujui lo,,halaf kaka yako nae zoba anaaamini mambo ya kipuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanye wanao wapende baba yao .utakuwa Na watoto Bora.utoto wangu wote nimeshudia ugomvi nyumbani . Uweza kuona jinsi au kuisi
.akili yang ya kitoto ikiwa imebeba mambo mengi .je ningewezaje kusoma Adi nikiwa mwandishi mzuri kama wew.uliuye pewa upendo Na e
Wazazi wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maandiko yanasema WAHESHIMU Baba yako na Mama yako ili siku zako zipate kua nyingi.
Daima unatakiwa kutambua huyo ndio mama yako na si vinginevyo, epuka kuwa nae karibu na pia jitahidi kupuuza yale unayoona yanaleta mafarakano, makwazo yasije kuinuka na mwisho wa siku ukajikuta umebeba laana bure.
(Watu wa kaliba hiyo ni wepesi sana wa kulaani kuliko kubariki).
Waswahili husema "mbwa wako ukishamjua hakusumbui"

Nb:- Huyo ni mwanamke pia, ishi nae kwa akili.


Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri kuntu
 
Nafikiri huo ushauri nilitoa nikiwa sijaonja balimi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwajinsi ninavyokujua ungekuwa umeonja balimi basi ushauri ungekuwa mzuri zaidi ya huo wa awali!

Hakika akosaye mapenzi ya mamaye amekosa kitu cha thamani kwani hakuna penzi tamu na la kweli hapa duniani kushinda penzi la mama. Pole sana mleta uzi, nami nakazia wapende na kuwaheshimu wazazi wako ili ubarikiwe!
 
pole sana mkuu,

ila mpende mama yako hivyo hivyo

ana muda mchache na wewe,

hivyo cherish her presense

kuna watu wamekua hawana mama.

Ninachoona uko karibu na baba kuliko mama,na jinsi huyo mama anafanya vituko anavyovifanya vinakuweke more more distant to her..

very sad,

nakushauri muignore ila usimfanye akafeel amekuwa ignored completely.

.usijali wala kuchukia kuwa na mama mshirikina,

hata wale wakina mzee Yahaya mganga maarufu aliwahi kuwa na watoto na mke..na bado walikua happy kuwa na baba/mume mwenye kuamini mambo ya giza...,
 
Aisee wengine tulipata bahati ya kuwa kikazi bora kwa kuzaliwa na wazazi wema, lakini hatukuipata ile bahati ya kuishi nao kwa muda mrefu.

Namkumbuka sana Mama yangu, kipenzi changu alikuwa sawa kwa wote alituungaanisha kama familia alitupenda sana. Nilitamani siku moja nijaribu kumlipa hata robo ya wema aliotufanyia, lakini haikuwa hivyo... Mama aliondoka kwenye hii dunia nikiwa bado namuhitaji sana, Mama yangu siwezi tena kupata Mama mwingine kama wewe. Wakati mimi nikizikumbuka jitihada na wema wako kuna Mtanzania mwenzangu huku anaonja joto la jiwe kutoka kwa Mama yake mzazi.
 
kuna limama angu la kambo linafiki kinyama eti linasemaga linatupenda sisi kuliko watoto wake,
ila huyu mama ako mzazi amezidi
 
Kwajinsi ninavyokujua ungekuwa umeonja balimi basi ushauri ungekuwa mzuri zaidi ya huo wa awali!

Hakika akosaye mapenzi ya mamaye amekosa kitu cha thamani kwani hakuna penzi tamu na la kweli hapa duniani kushinda penzi la mama. Pole sana mleta uzi, nami nakazia wapende na kuwaheshimu wazazi wako ili ubarikiwe!
Amen, kumbe kuna muda unakua na busara namna hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana... inasikitisha sana...

Wengine tunabahati sana kua na wazazi tuliyokua nao...

Wengine wazazi wetu ingawa unajitegemea kwa kila kitu mpaka uwezo wa kuwahudumia mpaka kufa unao lakini bado hawajakutoa kwenye ratiba zao...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom