Simpendi Makonda kwa 100%, lkn kwenye hili alikuwa sahihi kwa 100%.

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Taifa hili linaangamia kwa kuendekeza mambo ya hovyo na kuwapa umaarufu watu wa hovyo. Na ndiyo chanzo cha uchawa na machawa kuenea sana hivi sasa.

Screenshot_20240102-181140.png

Huyu Peere Liquid alikabidhiwa bendera na serikali eti awe kiongozi wa mashabiki wa Taifa Stars ilipoenda kushiriki AFCON. Mambo ya ajabu kabisa. Serikali haikutuona akina Sexless ?

Kabla yake alikuwepo Dr. Shika, tapeli aliyevuruga mnada wa mamilioni uliokuwa unaendeshwa na Majembe Auction Mart, kwa maneno ya mzaha tu.

Na hii ndiyo inazidi kuzalisha akina Mwijaku na Babalevo, watu wazima wanaona fahari kucheza wakiwa wamejifunga taulo tu.

Pia ameibuka mwanadada Mashalove anayetikisa makalio akiwa amevaa taulo tu mbele ya hadhara. Na mamlaka zinamwangalia tu.

Hongera kwa kulikemea hili ndugu Makonda.
 
Makonda ni zero brain ila alikua na uthubutu. Makonda alikataza magari yasiyohusika kutumia siren lights/ving'ora 🚨 na alifanikiwa. Leo hii hadi bajaji zina sirens ukienda Mbeya usiku ni kama Christmas tree kila bajaji ina siren lights kazi ambayo mipolisi imeshindwa kabisa kuthibiti.
 
Wivu tu.... Mbona kina Steve nyerere, Mwijaku na maulidi kitenge wanasafirushwa kwenda Dubai na ufaransa kwa pesa za Wtz na hijasema?.
 
Taifa hili linaangamia kwa kuendekeza mambo ya hovyo na kuwapa umaarufu watu wa hovyo. Na ndiyo chanzo cha uchawa na machawa kuenea sana hivi sasa.
View attachment 2860244

View attachment 2860247
Huyu Peere Liquid alikabidhiwa bendera na serikali eti awe kiongozi wa mashabiki wa Taifa Stars ilipoenda kushiriki AFCON. Mambo ya ajabu kabisa. Serikali haikutuona akina Sexless ?

Kabla yake alikuwepo Dr. Shika, tapeli aliyevuruga mnada wa mamilioni uliokuwa unaendeshwa na Majembe Auction Mart, kwa maneno ya mzaha tu.

Na hii ndiyo inazidi kuzalisha akina Mwijaku na Babalevo, watu wazima wanaona fahari kucheza wakiwa wamejifunga taulo tu.

Pia ameibuka mwanadada Mashalove anayetikisa makalio akiwa amevaa taulo tu mbele ya hadhara. Na mamlaka zinamwangalia tu.

Hongera kwa kulikemea hili ndugu Makonda.
Nchi ina mambo ya ajabu sana hii basi Eti Pierre liquid na dokta upumbavu kabisa.
 
Usimwambie mtu hayo maji unayokunywa ni machafu bila kumpa maji safi.

Muwekee glasi ya maji safi na machafu aamue mwenyewe atakunywa yapi.

Matatio mengi ya jamii yanatokana na uongozi mbovu unaotupa uchumi mbovu na elimu mbovu.

Halafu wananchi wakiishi kama watu wenye uongozi mbovu, elimu mbovu na uchumi mbovu, uongozi unawalaumu hao watu.

This is called "blaming the victim".

Unamnyima mtu nafasi ya kujifunza kusoma, halafu unasema huyu mtu ni mjinga, hajui kusoma.

Ndicho alichofanya Makonda hapo.

Wananchi wamekosa matumaini ya maisha bora, uchumi bora, utawala bora, wanaona bora wajilewee tu.

Halafu wakijiachia hivyo, uongozi huo huo uliosababisha matatizo hayo, unawanyooshea kidole na kuwalalamikia wananchi.
 
Taifa hili linaangamia kwa kuendekeza mambo ya hovyo na kuwapa umaarufu watu wa hovyo. Na ndiyo chanzo cha uchawa na machawa kuenea sana hivi sasa.
View attachment 2860244

View attachment 2860247
Huyu Peere Liquid alikabidhiwa bendera na serikali eti awe kiongozi wa mashabiki wa Taifa Stars ilipoenda kushiriki AFCON. Mambo ya ajabu kabisa. Serikali haikutuona akina Sexless ?

Kabla yake alikuwepo Dr. Shika, tapeli aliyevuruga mnada wa mamilioni uliokuwa unaendeshwa na Majembe Auction Mart, kwa maneno ya mzaha tu.

Na hii ndiyo inazidi kuzalisha akina Mwijaku na Babalevo, watu wazima wanaona fahari kucheza wakiwa wamejifunga taulo tu.

Pia ameibuka mwanadada Mashalove anayetikisa makalio akiwa amevaa taulo tu mbele ya hadhara. Na mamlaka zinamwangalia tu.

Hongera kwa kulikemea hili ndugu Makonda.
Kuna tatizo hapa!
 
Unanikumbusha story ya Shaban robert katika kitabu chake cha nchi ya kufikirika/kusadikika,mfalme alikuwa anaumwa ikatakiwa mjinga mmoja na mwerevu mmoja watolewe kafara ili apone,shida aliyetumwa aliamua mtu yoyote mwenye pesa atakuwa mwerevu na akachagua maskini mmoja kama ndo mjinga.ukisoma kitabu mpaka mwisho yule aliyechaguliwa kama mjinga aliweza kuprove yeye sio mjinga,so kigezo kikawa sio sahihi.Mpaka sasa sijaelewa kipimo gani Makonda au mtoa mada kilichowafanya muone jamaa ni mtu wa hovyo.Watu kama professor shaba,hubert heistein,bob marley au akina Elon Musk kuna upande ukiwakuta utasema ni watu wa ovyo kwa vigezo flani.Fikiria umkute elon anavuta bangi zake na humjui utamfikiriaje,fikiria Nyerere alivyomjudge Bob katika mkutano wa mataifa ya Africa Zimbwabe mwishoe akamkubali,Au umkute mzee mwenyewe Baba wa taifa anapiga kilaji yake ngum na humjui utamfikiriaje.Kila binadam ana potential au kipaji chake pale anapopewa nafasi,Na kila mtu ana ukichaa wake ukimkuta anaupractise lazima utamuona wa hovyo.
 
Makonda mwenyewe anaangukia kwenye hii list. Makonda ni wa hovyo kuliko hao aliokuwa anawasema.
 
Ni kweli. Lakini tatizo liko pale udhaifu wa mtu unapozidi potential yake kwa kiwango cha juu. Anyways, Hao Makonda aliwataja walikuwa siyo watu wa hovyo bali ni wachekeshaji waliobuka kwa msimu. Ukweli ni kwamba Makonda mwenyewe ndiye mtu wa hovyo.
 
Wivu tu.... Mbona kina Steve nyerere, Mwijaku na maulidi kitenge wanasafirushwa kwenda Dubai na ufaransa kwa pesa za Wtz na hijasema?.
Swala la kuwakataza kuwaruhusu hao akina Steve , Maulidi Kittenge na Mwijaku kwenda nje kuiwakilisha nchi haliko ndani ya uwezo wake.

Hata kipindi analalamika alikuwa ni RC tu
 
Back
Top Bottom