Simpendi kabisa mwanaume anayefuga ndevu

Halafu mtu kama huyu utakuta amepiga make up kilo nane. Halafu anasema hapendi ndevu.
 
Umeanza vzuri ila umemalizia vizuri sana [emoji16] kuna wanawake kitu halisi waliobakiwa nayo ni damu tu kwa sababu haiwezekan kuifanya iwe ya rangi nyingne
Sijui nani aliwaambia wakiwa na mikope ya bandia wanapendeza na akili zao za kishenzi ?
 
Sijui nani aliwaambia wakiwa na mikope ya bandia wanapendeza na akili zao za kishenzi ?

Ndio wanaita urembo, machon kope bandia, mkononi kucha bandia, takoni napo tako bandia [emoji38][emoji16] kuna baadhi ya wanawake wanashida sana
 
Halfu wewe jibaba unaletaje comprasion na mwanamke wewe uko vipi kwani?

Sent using Jamii Forums mobile app
So kuwa kwako fake kusikukere unakereka na mwanaume kuwa really,hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa namna gani wanaume tunakereka jinsi mnavyo-fake urembo.

Screenshot chini haihusiki na mada ila content yake inafaa kwa kiasi hapa

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…