Simon Group na Ridhiwani Kikwete wana uhusiano gani?

Simon Group na Ridhiwani Kikwete wana uhusiano gani?

Ungekuwa na kumbukumbu nzuri ungejua ya kwamba kesi ilishakwenda mahakamani,walishitakiwa Iddi Simba,Waziri wa viwanda mstaafu,Milanzi aliyekuwa Meneja mkuu wa uda,na Simon.Kesi hii ilikuwa pale kisutu,ilifutwa kwa sababu ya technicalities,hivyo haiwezi kufunguliwa tena,kwa mujibu wa taarifa iliyokuwa imetolewa na DPP wakati huo.

Kaka hizo "TECHNICALITIES" ni zipi?Au ndio hizi wahusika wakuu wenyenchi aka walanchi?Vinginevyo sitaelewa kamwe.Sasa imekuwaje tena Naibu mmoja wa Fedha amesema kesi iko mahakamani?Naona kama vile kuna ngoma fulani inachezwa lakini twaisikia kwa mbali.
 
Huu uzi unatia uchungu sana! Kuna wakati huwa natamani kuua ccm wote tuzae watu wengine wenye nidhamu na rasilimali zetu.
 
Team Majungu @ work!


hapa hamna majungu mkuu.....lazima tuulize uhalali wa umiliki wa kampuni hii. kila mtanzania ana haki ya kujua na uhuru wa kutoa mawazo yake! kwa sarakasi zinazoendelea lazima tuhisi kua kuna harufu ya ufisadi mkubwa tuuu maaana majibu ya serikali na simon group ndo yanayotupa mashaka na kutufanya tuhoji habari za UDA LAKINI HATA UJEURI WA MADEREVA WA UDA INANIFANYA NIPATE MASHAKA KUA UDA INAMILIKIWA NA KIGOGO SIMONI GROUP NI WASIMAMIZI TUUU
 
Team Majungu @ work!
yaite tu majungu, labda kama ni mmoja wa wanaofaidika na huu mchakato wa ufisadi lakini yakupasa kuelewa kuwa hizo benefits sio sustainable!
Nilikuwa najiuliza kuwa imekuwaje wakapewa 'exclusive rights' ya njia ya ferry lakini mleta mada amenistua kuwa mabasi yote 300 yaliingizwa bila kulipa kodi (exemption)!
Tatizo letu ni kuwa pesa kubwa kubwa zinaendelea kuwa mikononi mwa watu wenye akili ndogo sana kuweza kuzisimamia!
 
Unafikiri kwanini watu wanamwongelea riz kila siku ...UKIONA KITU KINASEMWA SANA UJUE KIPO NA KINAWAKERA WENGI!!!Haiwezekani kila siku watu wamseme tu yeye kuna mazingira ambayo lazima watu wa doubt......hebu mtoeni hoja sio kusema tu kua anaonewa au kuna majungu...toen hoja mtuaminishe sisis ambao tunamsikia....lakini HAMNA MAREFU YASIYO NA NCHA
 
Naibu waziri wa fedha Adamu Malima , alisema Bungeni kuwa UDA ni shirika la serikali , ila hakusema ni kwanini magari ya serikali hiyo ni namba private ....
 
Hawa hawana tofauti na panya road tofauti yao ni kwenye mbinu za kukwapua tu......
 
If UDA ( Simon Group) operates at Full capacity with profit and best service then let them do what the Government failed to. I 100% support the guys, who among you knew the 20 buses UDA had in 2009? But now they have 300+ and counting buses operating all over DSM right?

If they are doing for the best of our Nation Development let them do I don't care if the deal was void, blame the leaders behind the deal.
 
:wave: This is what I can see from you.......

Oooh dd you know UDA had 20 buses in 2009? Why ddnt u stand against the government over the fall of UDA those days? I bet u just heard UDA in 2010 after this investor introduced his capital and desire to succeed in the Co.
 
If UDA ( Simon Group) operates at Full capacity with profit and best service then let them do what the Government failed to. I 100% support the guys, who among you knew the 20 buses UDA had in 2009? But now they have 300+ and counting buses operating all over DSM right?

If they are doing for the best of our Nation Development let them do I don't care if the deal was void, blame the leaders behind the deal.

Your text takes me to a conclusion that all those on power are laughable! Are you mentally fit? Is that a way of disposing public properties. You mean, you also have that chance of stupidly scooping public property behind a non-useful pretext of saying they had 20 buses, they are doing for the nation, etc. A Nation! What connection guarantees someone, an individual, to confiscate shirika like UDA at a throwaway cost, using funds nowhere to be traced of its originality!

And you smile, mouth open. I am not an ectoplasm like you!
Chafu kabisa weeee!
 
Oooh dd you know UDA had 20 buses in 2009? Why ddnt u stand against the government over the fall of UDA those days? I bet u just heard UDA in 2010 after this investor introduced his capital and desire to succeed in the Co.
You think so!!!!
 
Your text takes me to a conclusion that all those on power are laughable! Are you mentally fit? Is that a way of disposing public properties. You mean, you also have that chance of stupidly scooping public property behind a non-useful pretext of saying they had 20 buses, they are doing for the nation, etc. A Nation! What connection guarantees someone, an individual, to confiscate shirika like UDA at a throwaway cost, using funds nowhere to be traced of its originality!

And you smile, mouth open. I am not an ectoplasm like you!
Chafu kabisa weeee!

Some people are living today , because it's illegal to kill them.........Jf member......
 
Mdau, unapotunga hadithi tamu kama hii basi jitahidi kufanya utafiti kwanza ili angalau ikaribie kuwa kama kweli. Mmiliki haitwi Simon Kisena ila anaitwa Robert Kisena, Simon Group ni jina la kampuni yake
 
Miongoni mwa kashifa za serikali ya Kikwete ni namna ilivyoshindwa kuonyesha uongozi ulipohitajika. Uuzwaji wa UDA uligubikwa na rushwa kama kweli Kikwete ama familia yake ama marafiki zake hawahusiki basi alitakiwa kuuvunja mkataba huu kwani haukuwa halali (VOID) kwa kukosa idhini ya mwanahisa mkubwa (majority shareholder) kwenye maamuzi makubwa kama uuzwaji wa hisa, kuuza hisa siyo jambo ambalo directors wanaweza kulitekeleza bila idhini ya wenye mali!
 
Nina mashaka.hivi katika opportunity zite za kibiashara zilizopo TZ mtu ukahangaike na kelele za daladala?
Kama wana mitaji kuna area za kuinvest kwa faida kubwa.
Biashara hizi kichaa sidhani mtu mwenye pesa zake atakubali kuingia.
Kama yumo basi ana matatixo as hata greenwaste tunaambiwa yake.
Ungejaribu kuhangaisha akili kwa kutafuta thamani ya mali zinazomilikiwa na UDA kama shirika la uma, wala usingejaribu kuandika kitu kama hiki.
 
basi huyu rizwan atakua anachuana na bill gates,kila kitu mnasema ni chake


Unajua maana ya fisi? Iko siku atashiba? Hii ni famila ya Kiswahili na ukitakakuja yaayotokea, jiulize pesa inayopotea kila wakati kati ya TRA na hazina huelekea wapi.
 
Back
Top Bottom