Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Hilo nalo neno. Inaitwa conflict of interest. Lakini Marando kama wakili hakuwa na mahusiano yeyote ya karibu na watuhumiwa ambayo yangeleta mgongano wa kimaslahi na kwa hiyo anao wajibu kisheria kuwatetea.
 
Kwako unakuwa mkali kama simba, kwa wenzako kicheko kama uko kwenu Newala, CCJ hubanduki wewe na wenzako, acha kudanganya WTZ.
 

Nilikuwa najua huna akili siku za nyuma ika sikujua kwamba ni juha kiasi hiki .Yaani kwa kuwa unashinda kwa Jeetu na mipango yenu ya Ki CCM unamwita Baba yako huyo Mhindi mwizi na W.P.Slaa PhD unamwita babu .Kweli wewe umekwisha anedelea kujiweka uchi .Eti watu wanakujadili wewe hapa forum .Nyooooooooooooooooooooooooooooo
 
Dah! Kumbe Nape nae ana nyongo? Nilidhani yake ni useless. Akapumzike kwanza na kujifunza kuheshimu wakubwa
 
hata mimi sijawahi kuona kijana mnafiki kama nape, wale anaowaita mafisadi akina lowasa,ndo leo wanamlipa mshahara, kumbuka kuwa watuhumiwa anaowatetea marando siyo wezi wa epa, wezi epa ni aina chenge wewe,deep green,nk.
 
Wewe Nape jivue gamba.JUZIJUZI Ulikuwa unazunguka nchi nzima ukiwatukana mapacha watatu ukidai umewapa siku 90 waondoke vinginevyo wangeondolewa,majuzi ulikuwa na Lowasa Arusha mkidai mnajenga chama sasa Nape kuna mwanasiasa mnafiki kama wewe?UNATIA AIBU, tulidhani ungeleta changamoto mpya na mawazo mbadala kwa lichama lako lilioza kumbe ni walewale umefyata kwa mafisadi."Kama ccm kimeshindwa kuwavua gamba mafisadi basi chama chenyewe ni gamba ni lazima sisi wananchi tukivue gamba (tukiondoe madarakani) 2015.
 
nnauye.

unamwita marando mnafiki (yes, kwa mazingira haya ya akina Jeetu nakubaliana na wewe kwenye hili).

Lakini nikikusoma unaonekana ni kama una-retaliate kwa kuwa na wewe "umeitwa majina". hii si sahihi! a politically mature person should realise kuwa two wrongs don't make it right!

piece of advice to you....grow up, lad.
 
Baada ya vibarua wako kuzidiwa naona umeingia kazini mwenyewe bwana Nape...... Daah kweli siasa za bongo kazi!
Hivi ndivyo mnavyotekeleza zile ahadi lukuki mlizotoa? Is this the best CCM can deliver?
 

Mkuu umeongea vizuri ila tujaribu kuweka akilini neno "mtuhumiwa" wakati tunajadili. Mtu anayetuhumiwa bado hajapatikana na kosa na haijulikani kama ni mkosaji au sio mkosaji. Sijajua kama hao wateja wake anaowatetea alishawataja kwa majina au alimaanisha mafisadi wengine (mbali na wateja wake) wakati akiwa Jukwaani. Ila kama aliwataja halafu akaenda mahakamani akawatetea, atakuwa anajichanganya na umma hautamuelewa kirahisi kwa utetezi wowote.
 
Hajajua kuwa kuwa jf haitaki kutaja taja majina... nimjuavyo laizma atalalamika fb kuwa jf ni ya cdm kisa kamsema malando mtu wa cdm
Kwani amepigwa ban kwa ajili ya kutaja majina?!wangapi wanataja majina humu
 

Mkuu Nnauye Jr siku hizi nimekushisha sana thamani tangia ulipoanza kumshambulia kwa matusi ya nguoni Dr Wilbroad Slaa.
 
Last edited by a moderator:
QUOTE=Mr Dhaifu;5301139]Kama Jitu ni baba yake kumbe ni mtoto wa Fisadi.[/QUOTE]

Tatizo ni Msamiati wa Kiswahili, una maneno machache sana. Nape alitaka kumaanisha, "Mentor" wake kwenye Ufisadi maana Jeetu ni Baba lao, Nape ndio kwanza ameanza kuonja utamu baada ya kushindwa kuzuia ule wa Jengo la Umoja wa Vijana, sasa ameamua kuungana nao. Na kwa mapungufu haya ya kiswahili, msije mkashangaa siku mtu akimwita mwanaume mwenzie "Mume wangu" ili mradi tu anamwezesha kupeleka mkono kinywani.
 
Umewahi kusikia wakiri anaekwenda kuwatetea majambazi waliovunja nyumbani kwake nakuiathiri familia yake kisa wanapesa za kumlipa na ni taaluma yake au sijui ni haki yao kutetewa? huu ni upuuzi hata kuutetea hapa.

CDM imekuwa ikijinadi kama watetezi wa wanyonge na hathari za ubadhilifu katika huduma za jamii kama mashule na mahospitalini ambazo watanzania wachini wanapewa.

Leo tena wewe wakili wa hiko chama ukatetee wabadhirifu hao hao na ulipwe pengine na pesa pesa hizo hizo zilizoibiwa na hawa watu na kuathiri jamii, halafu ukitoka hapo kweli unaweza kupanda jukwaani na kuponda hawa watu wakati indirectly na wewe umezipokea kwa namna nyingine through payments.

I dont where he gets that audacity because he has no moral rights kukemea ufisadi kabisa kama ndio hivyo.
 
DSN,
Swala la Mzee wanguMarando kuwa mtetezi wa watuhumiwa wa EPA Mahakamani na huku jukwaani akiwaita mafisadi LINAHITAJI USHAHIDI?
kwa hili halihitaji ushahidi,lipo wazi kabisa,hili nalo linatia shaka sana,mpaka sasa badi simwelewi mzee wetu marando,kwa kuwatetea hawa watu walioliangamiza Taifa hili na kuiba mabilioni ya pesa,kwanini anawatetea? inamaana anakubaliana na wizi huo? kwanini asijitoe kama kweli anaipenda Tanzania iliyo huru? nina mengi ya kujiuliza juu ya hili la mzee Marando kuwatetea wazee wa EPA
 
QUOTE=Mr Dhaifu;5301139]Kama Jitu ni baba yake kumbe ni mtoto wa Fisadi.

Tatizo ni Msamiati wa Kiswahili, una maneno machache sana. Nape alitaka kumaanisha, "Mentor" wake kwenye Ufisadi maana Jeetu ni Baba lao, Nape ndio kwanza ameanza kuonja utamu baada ya kushindwa kuzuia ule wa Jengo la Umoja wa Vijana, sasa ameamua kuungana nao. Na kwa mapungufu haya ya kiswahili, msije mkashangaa siku mtu akimwita mwanaume mwenzie "Mume wangu" ili mradi tu anamwezesha kupeleka mkono kinywani.[/QUOTE]

Aksante mkuu Amiliki.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nnauye Jr siku hizi nimekushisha sana thamani tangia ulipoanza kumshambulia kwa matusi ya nguoni Dr Wilbroad Slaa.


Wewe mwenyewe huna thamani unatumika vibaya na usoni kwa umma huna tofauti na mpira wa kiume unaosubiri kujazwa mbegu kisha utupwe.
 
Mimi ni shahidi nilipigwa Ban kwa kutaja majina.Kwa hiyo usimtetee Nape hapa.

sio kwamba namtetea nilikua nataka kujua sbb ya Iyo ban.na Kama ni ishu ya majina mbona watu wengi wanataja majina na sijaona wakipigwa ban vigezo vinakuaje na ukitaja jina kwa style ipi
 
Nape mbona unajiaibisha lakini,hakuna chochote ulichoandika cha maana kwenye hii thread yako ukaeleweka,,leo ndio unafahamu kuwa hoja ya marando ni ya kipuuzi ila we uliyeanzisha hoja hiyohiyo ni ya busara??kama chama ndicho kina mwenezi wa hivi kifahamu kuwa hiki ni chama mfu na hakina mwakilishi wa kujibu hoja mitandaoni kama mareporter john mnyika,ben saa8,yerricko nyerere,aweda n.k wafanyavyo vyema kwa chadema
MWISHO MJIBU YERICKO NYERERE ANAYETAKA MJADALA NA WEWE HUMU JF SIYO KUISHIA KUANDIKA UPUUZI KAMA MTU AMBAYE HAKUFIKA HATA DARASA LA 7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…