simbanking

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Washindi watatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ wapatikana, Mmoja aondoka na Bajaji

    Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB ilizindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 kwa wateja wake mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es...
  2. B

    Wateja Benki ya CRDB kuzawadiwa zawadi za Sh. Milioni 470 kampeni ya Benki ni SimBanking

    Dar es Salaam. Tarehe 31 Januari 2024: Katika jitihada zake za kuhamasisha matumizi ya mifumo ya kidijitali nchini, Benki ya CRDB imezindua msimu wa tatu wa kampeni ya ‘Benki ni SimBanking’ na kutenga jumla ya zawadi zenye thamani ya Shilingi milioni 470 mamilioni kwa wateja wake mwaka huu...
  3. B

    Kunani huduma ya CRDB Simbanking?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna matatizo makubwa sana siku hizi kupata Huduma ya CRDB Bank Simbanking kupitia ile App yao.
  4. A

    Hili sharti kwenye APP ya CRDB Simbanking lina maana gani?

    Mimi ni mteja wa benki ya CRDB. Kadi yangu ya benki imekwisha muda wake; hivyo jana nilikwenda kweny Tawi lao kwa ajili ya kupata kadi mpya. Mhudumu wa benki aliniambia utaratibu wa kupata kadi mpya ni ku-apply kwa kutumia App ya CRDB. Nilifanikiwa ku-download App ila nilisita kukubali...
  5. ChawaWaMama

    CRDB Ovyo kabisa, Simbanking muda mwingi haipatikani

    GTs, Kwa wale msiofahamu, simbanking ni app ya CRDB inayowezesha huduma za kibenki kupitia simu. Ila sishauri mtu aitumie hii app, ni ya ovyo ovyo mno! CRDB Simbanking leo toka asubuhi inasumbua, no information wala hawaombi msamaha. Hivi kama mtu ana mgonjwa na yupo mbali na ATM akaamua...
  6. B

    Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  7. B

    Mshindi wa kampeni ya SimBanking akabidhiwa gari aina ya Toyota Crown

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Jabir Kimweri (mwenye kanzu) akimkabidhi mshindi wa kampeni ya Benki ni SimBanking, Mayani Yahaya Hassan mkazi wa Dodoma funguo ya gari baada ya kuibuka kidedea katika droo iliyochezwa mapema mwezi huu. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Benki ya CRDB ambao walishiriki...
  8. K

    Simbanking NBC sio poa

    Nimelinganisha huduma ya simbanking ya NBC haina ubora unaotakiwa, Simbanking ya CRDB kwani ukituma pesa inakuonyesha jina la unaempelekea na hata ukitumiwa pesa benki inakuonyesha aliyekutumia tofauti na NBC. Mimi nina account kote, hebu NBC mbadilike kuboresha huduma yenu, tunapoteza pesa...
  9. B

    Benki ya CRDB yawapa ubalozi wachezaji wa Simba na Yanga kampeni ya Benki ni SimBanking

    Mkurugenzi Mtenndaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (katikati), Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Yanga, Andre Mtine (wapili kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Timu ya Simba, Imani Kajura (wapili kulia) kwa pamoja wakisaini mkataba wa makubaliano wa kuwatumia wachezaji Clatous Chama, Mohammed...
  10. B

    “Benki ni SimBanking” kuongeza ujumuishi wa huduma za fedha, Moshi

    Wakazi wa Moshi mkoani Kilimanjaro wameonekana kuipokea vyema promosheni ya “Benki ni SimBanking” ikiwa ni sehemu ya jitihada za Benki ya CRDB kuongeza ujumuishi wa Watanzania kwenye huduma za kibenki. Wakazi hao waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa promosheni hiyo mkoani Moshi walionyesha...
  11. K

    Bank ya NBC mnazingua sana Simbanking Badilikeni

    Mimi nimekuwa mteja wa hii Bank ya NBC muda mrefu ila very soon nitasepa kama hali itaendelea hivi. Sim banking unaweza kujaribu mara kibao hufanikiwi. Saa ingine mtu una dharura , hela kwenye account unazo ila hazikusaidii. Badilikeni NBC.
  12. mulwanaka

    Charges za Simbanking zikoje?

    Habari zenu wakuu, Naomba msada kwa anayejua Charges za Simbanking kutoka Account ya CRDB kuhamisha kwenye account ya NMB kwa kiasi cha kama 2m mbili makato ni kiasi gani? Si mnajua kwasasa kila shilling counts, hali sio hali.
  13. M

    Kwa sasa huwezi kutumia Simbanking bila salio kwenye simu. Nini maana yake?

    Nimetaka kutumia simbanking nikashindwa kwa kuwa simu haina salio. Huko nyuma haikuhitaji salio kutumia simbanking. Je kwa sasa huwezi kutumia simbanking bila salio kwenye simu? Nini maana yake? Je, Simbanking nayo inahusika kwenye tozo za miamala ya simu? Msaada wetu wadau tafadhali.
  14. M

    Kuanzia Jana kutumia code ya simbanking tigo ni sh 100 kwa Mara moja, *150*03#

    Kuanzia Jana tigo wameanzisha tozo ya kuweza kuingia sim banking kwa kutumia mtandao wao, kwahivo kula ukitaka kuangalia salio, kutuma salio kwa simu banking lazma utoe 100 ndo uingie ndani. Sasa sisi waalimu unakuta zamani unaangalia hata salio Mara 30 kucheki salary sijui itakuaje, kila...
  15. Reginald L. Ishala

    Na wewe umepokea ujumbe huu wa tozo za huduma ya Simbanking?

    U hali gani, Mwana JamiiForums Nimepokea ujumbe toka Tigo Tanzania unaosema, Ndugu, Mteja! Kuanzia JULY 26, 2021 kutakuwa na tozo ya Sh 100 kupitia salio la kawaida la muda wako wa maongezi kwa kila atakayetumia huduma yoyote ya Simbanking sanjari na kuangalia salio. Je, Na wewe umepokea...
Back
Top Bottom