Simbachawene anarudije kwenye Baraza la Mawaziri?

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika uteuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.
Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.
Sasa leo hii Rais Magufuli anajipmabanua na kupambana na Rushwa na Ufisadi kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri sijui kwa kutumia vigezo gani na sifa zipi hasa.

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika ueuzi na utenguaji huu.
Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite). Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe................Hii ni hatari sana!
Kama maadui wa Mbowe wameshindwa kumng'oa kwenye uenyekiti ,sembuse rais aliyechaguliwa na watanzania wanyonge
..
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu. Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Stone is so mediocre leader and he knows that!

Thats why he so scared and freaks out pf smart people everytime!

He scared of smart people!
 
“Only thing we have to fear is fear itself”

Poor Mwigulu sijui ajipendekeze vipi na yeye aonekane.
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu. Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika ueuzi na utenguaji huu.
Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite). Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe................Hii ni hatari sana!

Samahani ila Swali lako kama ulivyoliuliza katika Kichwa chako cha Habari hapo juu ni la Kipuuzi na Kitoto sana. Kwani alipoteuliwa huko awali unadhani labda hakuwa na Sifa zozote zile? Na je kuna Mtanzania mwenye ambaye hapaswi au hatakiwi kuwa Kiongozi? Na je kuna Dhambi yoyote ile aliyejiuzuru leo akiteuliwa aukatae huo Uteuzi? Miaka ya 80 Mzee na Rais Mstaafu Mwinyi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani alijiuzuru lakini mbona baadae alionekana anafaa na hadi akaja kuwa Rais wetu kati ya mwaka 1985 hadi 1995? Sometimes tujitahidi kuwa Great Thinkers wa ukweli.
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu. Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika ueuzi na utenguaji huu.
Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite). Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe................Hii ni hatari sana!

Mkuu alisha sema apangiwi.
Nijualo, kujiuzulu kwa mtu siyo lazima awe amefanya kosa, bali ameona makosa yaliyojitokeza akaamua kujiadhibu mwenyewe na nafasi ili uchunguzi ufanyike. Sasa yawezekana hakuhusika ndiyo maana amerudishwa.
 
Alituhumiwa ndio kwani hzo tuhuma zilikuwa kweli? Unajuaje pengine ktk uchunguzi imeonekana hana hatia na tuhuma si za kweli ndo maana muheshimiwa akamteua je
 
Kama maadui wa Mbowe wameshindwa kumng'oa kwenye uenyekiti ,sembuse rais aliyechaguliwa na watanzania wanyonge
..
jifunze kusoma na kuelewa! Hoja ya mleta hoja ni kwanini mtuhuhumiwa Wa uhujumu uchumi badala ya kushtakiwa kwenye mahakama ya ufisadi kateuliwa kuwa waziri! Hayo ya Mbowe hayaandikwa. Haya jibu swali LA mleta hoja!
 
Back
Top Bottom