Simbachawene anarudije kwenye Baraza la Mawaziri?

Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika ueuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
Akili za Kichadema chadema siku zote ni za ovyo ovyo tu, sasa Mh.Rais unampangia cha kufanya ? Unampangia nani amteue na nani amuache? Webdawazimu wengine ni balaa. Mbona hili Li-Mbowe lako hujaliambia likapumzika huo umwenyekiti wa Maisha? Kila mwaka lenyewe ndilo limwenyekiti Cdm Taifa. Je huyo ni Sultan ? Achana na JPM. Muhoji huyo Mbowe wako
 
KULA HIZO NDIZI NYAMA IKO CHINI MKUU
 
Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika ueuzi na utenguaji huu.
Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.
Unafuata wewe kutumbuliwa!
 
Jiwe anatapatapa mnooo. Yaani katika wabunge wote na wanaCCM wote kwa ujumla wao kaona hakuna anayefaa na kaamua kurudi kulamba matapishi kwa Simbachawene. Maajabu haya.
 
DIET ZENYE AFYA KWA MWANAUME.

Ni Diet zenye virutubisho vyote muhimu katika mfumo wa uzaz wa mwanaume. hazina caffeine
1⃣ huimarisha shahawa na kufanya kuwa na rutuba.
2⃣ Kuongeza nguvu kwa mwanaume
3⃣Kuondoa maumivu ya Kiuno wakati wa tendo la ndoa
4⃣Kufanya uume kusimama barabara hadi kukamilisha tendo pasipo kuishia njian
5⃣huleta heshima ya ndoa na kufanya mpenz wako Aridhike.
6⃣Ni nzuri kwa wanaowahi na wanaoshindwa kabisa kufika kilelen
Bei ni sawa na bure 42,000 tu.
Zimetengenezwa kwa teknolojia ya juu kwa mimea muhimu inayoitajika katika kuimarisha mfumo wa uzaz wa mwanaume na kuthibitishwa Nchin Marekan na TFDA, zina Maziwa na sukari asilia.
(Office number)
 
HAYA.MA.POST YENU NAONA WENGI MNASHIDA YA NGUVU ZA. KIUME EMBU TULINDE NDOA ZENU
 
Samahani ila Swali lako kama ulivyoliuliza katika Kichwa chako cha Habari hapo juu ni la Kipuuzi na Kitoto sana. Kwani alipoteuliwa huko awali unadhani labda hakuwa na Sifa zozote zile? Na je kuna Mtanzania mwenye ambaye hapaswi au hatakiwi kuwa Kiongozi? Na je kuna Dhambi yoyote ile aliyejiuzuru leo akiteuliwa aukatae huo Uteuzi? Miaka ya 80 Mzee na Rais Mstaafu Mwinyi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani alijiuzuru lakini mbona baadae alionekana anafaa na hadi akaja kuwa Rais wetu kati ya mwaka 1985 hadi 1995? Sometimes tujitahidi kuwa Great Thinkers wa ukweli.

Kwa maelezo yako haya wewe ndo mpuuzi na LOWEST Thinker! Kulinganisha tukio la kujiuzulu kwa Mzee Ruksa na kujiuzulu kwa Simbachawene ni uzezeta na upoyoyo…!
Mzee Alijiuzulu kwa hiari kuonesha uungwana na Uadilifu wake kwa matukio yaliyofanywa na Polisi pasipo maagizo yake!

Simbachawane ni FISADI amehusika katika UTOROSHAJI WA MADINI YETU NA KUSAINI MIKATABA YA KIFISADI! Huyu jamaa ni fisadi na ananuka RUSHWA hakupaswa kuteuliwa kama Waziri tena hata kwa nyukta moja!
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika ueuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
Nimeliwaza sana hili mkuu.Inawezekana it's an oversight?But how can it be.Ngoja tusubiri?
 
Akili za Kichadema chadema siku zote ni za ovyo ovyo tu, sasa Mh.Rais unampangia cha kufanya ? Unampangia nani amteue na nani amuache? Webdawazimu wengine ni balaa. Mbona hili Li-Mbowe lako hujaliambia likapumzika huo umwenyekiti wa Maisha? Kila mwaka lenyewe ndilo limwenyekiti Cdm Taifa. Je huyo ni Sultan ? Achana na JPM. Muhoji huyo Mbowe wako

Wewe ni chizi na zezeta la Lumumba!
Unachotetea hapa ni ushenxx kama so ushoggxx!
Tume ya Bunge ndo iliyo anika madudu yake na Magufuli alikabidhiwa hiyo ripoti na akachukua HATUA IKIWEMO KUMWAJIBISHA SIMBACHAWENE…!Rais anapomteua tena ni sawa na mbwa kula matapishi yake!
Mambo ya Mbowe tuwaachie wenyewe maana haina tofauti na ri~CCM KUNG'ANG'ANIA MADARAKA! Kama ni kupinga Usultani tuanze na Mafisi wa CCM wasiotaka kuachia madaraka kwa vyama vingine vya siasa……!!
 
Kwani mtu akituhumiwa na baadaye uchunguzi kufanyika na kubainika mtu hakuna na kosa, kwanini asirudi tena????
 
Hili swali kwa jinsi lilivyouliza linaweza kuwa na maelezo mengi ila kuendana na hali iliyopo linaweza kujibika kirahisi tu kwamba "Anarudi Kama Alivyotoka Mwanzoni".

Hizi Siasa za Sub-Sahara ni 'Kasheshe' kwelikweli! Na ukipata kuzifahamu kwa undani wake, huenda zisikupe tabu sana.
 
Back
Top Bottom