Simbachawene anarudije kwenye Baraza la Mawaziri?

Unacha
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika uteuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
Umechanganya mambo mengi hueleweki unataka kusema nini. Anza moja, limalize, ndipo uingilie jingine,. Huenda una point ila umezivuruga!
 
Kwa maelezo yako haya wewe ndo mpuuzi na LOWEST Thinker! Kulinganisha tukio la kujiuzulu kwa Mzee Ruksa na kujiuzulu kwa Simbachawene ni uzezeta na upoyoyo…!
Mzee Alijiuzulu kwa hiari kuonesha uungwana na Uadilifu wake kwa matukio yaliyofanywa na Polisi pasipo maagizo yake!

Simbachawane ni FISADI amehusika katika UTOROSHAJI WA MADINI YETU NA KUSAINI MIKATABA YA KIFISADI! Huyu jamaa ni fisadi na ananuka RUSHWA hakupaswa kuteuliwa kama Waziri tena hata kwa nyukta moja!

Sawa.
 
Unacha

Umechanganya mambo mengi hueleweki unataka kusema nini. Anza moja, limalize, ndipo uingilie jingine,. Huenda una point ila umezivuruga!

Kuna mijitu huwaga hamuelewi sawa na kumpigia mbuzi gitaa ili acheze……!GT wameelewa vzr sana na michango yao inasomeka!Ww endelea kujtoa ufahamu unaweza ukatunukiwa na Jiwe…!
 
subiri sAsa atasema kuwa aliwasiliana na IGP na hakuamini kama ni mchongo ulikuwA unachongwa,kwahiyo issue yote anaijua kinagaubaga
Nalog off
 
Na wewe uende kumuuliza kabla ya kuleta uzi hapa. UMESHAUZA ROHO YAKO KWA MAFISADI, THEN LEO UNATAKA JPM HAKUFURAISHE.
Kama hujuia kuandika kwa kiswahili fasaha basi, hoja yako inageuka takataka moja kwa moja!
Hakufurahishe = akufurahishe
Kati ya aliyepewa uwaziri akiwa hajajisafisha tuhuma za uhujumu uchumi na Mimi RAIA Wa kawaida nisie na tuhuma nani ni fisadi?
Au ile mahakama ni kweli imekuwa masalia ya popo?
 
Jamani kwan rais ni ww ama yeye?? Mtazamo wako haufanan na aake so Acha afanye mambo kwa mitazamo yake na akili yake. Kura mshampa na nafasi ndo yake. Acha atekeleze majukumu yake, usijifanye geneous wa kujiona una akili zaid ya kuona mtazamo wake haufai ila wako ndo unafaa
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.

Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?

Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika uteuzi na utenguaji huu.

Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.

Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).

Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.

Hii ni hatari sana!
Hamjui kwamba ana kipaji cha usaniii hasa anapotafuta sifa haon shida kutoa kafara wenzie.Lissu pmj na lugha kali aliyotumia kuhusu zile report za maprof wa jalalañi kuwa ni professorial rubbish na kusisitiza kuwa zilijaa uongo ulikua ndo ukweli wenyew. Jamaa anapenda cheap popularity
 
jifunze kusoma na kuelewa! Hoja ya mleta hoja ni kwanini mtuhuhumiwa Wa uhujumu uchumi badala ya kushtakiwa kwenye mahakama ya ufisadi kateuliwa kuwa waziri! Hayo ya Mbowe hayaandikwa. Haya jibu swali LA mleta hoja!
Teja la Lumumba hlo mkuu
 
Pumba!

Kipi ambacho Musiba kakiongea hakija tiki?

Pumbaf...!!!
Kama unatetea ujinga anaofanya jamaa yako Musiba basi wewe huna tafauti na Intarahamwe waliosababisha mauaji ya kimbari kule Rwanda 1994.Ilianza na mtu mmoja kuchonganisha na kusingizia watu mambo ya hewahewa tu kama anavyofanya huyu chizi mwenye jina lenye harufu ya kifo-kifo.
 
Samahani ila Swali lako kama ulivyoliuliza katika Kichwa chako cha Habari hapo juu ni la Kipuuzi na Kitoto sana. Kwani alipoteuliwa huko awali unadhani labda hakuwa na Sifa zozote zile? Na je kuna Mtanzania mwenye ambaye hapaswi au hatakiwi kuwa Kiongozi? Na je kuna Dhambi yoyote ile aliyejiuzuru leo akiteuliwa aukatae huo Uteuzi? Miaka ya 80 Mzee na Rais Mstaafu Mwinyi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani alijiuzuru lakini mbona baadae alionekana anafaa na hadi akaja kuwa Rais wetu kati ya mwaka 1985 hadi 1995? Sometimes tujitahidi kuwa Great Thinkers wa ukweli.
huyu ni muhujumu uchumi!!
 
Uteuzi wa Simbachawene ni onyo au fundisho kwa Dogo Makamba kuwa akitulia basi anaweza kufikiliwa hapo mbele mana kiboko hiki ni kwa ajili ya kosa la baba kuropoka ovyo si kosa lake, Pia kutoa onyo kwa wengine waogope zaidi. Ukijua mchezo wa Magu hupati shida kusoma 'betweene the lines'
 
Nimeshangazwa sana uteuzi wa Simbachawene kuziba nafasi iliyoachwa na Januari Makamba aliyetenguliwa kwa kosa la baba yake.Simbachawene alihusishwa na tuhuma za uhujumu Uchumi kwenye Tume ya Kuchunguza Biashara ya Madini na akajiuzulu.
Sasa leo hii Rais Magufuli anajipambanua katika kupambana na Rushwa na Ufisadi iweje kamteua tena Simbachawene kurudi kwenye Baraza la Mawaziri na katumia vigezo gani na sifa zipi hasa. Hii kama siyo DOUBLE STANDARDS ni kitu gani?
Ile kauli ya Mzee Makamba na Kinana na Nape kuwa Magufuli ni MSHAMBA na AMESHA ANZA KUCHANGANYIKIWA inajidhihirisha katika uteuzi na utenguaji huu.
Magufuli kama Mwenyekiti wa CCM(T) na Rais wa JMT anazidi kuibomoa CCM vipande vipande huku akiendelea kutengeneza maadui ambao siku moja wakiamua kuungana hali itakuwa mbaya kuliko inavyodhaniwa.
Haiwezekani mtu ambaye ni chanzo cha yote haya: Bwana Cyprian Musiba yeye haguswi, haonywi wala hasemwi. Musiba ameonekana naye ni mtoto pendwa sawa na DAB(Bashite).
Hawa jamaa 2 inaonekana hata wakiamua siku kumtukana mkuu na kwenda kupaka kinyesi Ikulu Rais ataendelea kuwabeba na kuwalinda wasiguswe.
Hii ni hatari sana!
Km unaanza nyoosha mikono. Naona unalilia kuwa wengine hawaguswi.Ila tatizo umeanza kwa kumtukana aliyeshika mpini wa panga lenu. CCM hamna uwezo wa kiakili wa kupiga kifua na Magufuli. CCM ni km wadudu wanaochachusha maziwa,huwa wanayachachusa hadi yanawaua.
 
Kama maadui wa Mbowe wameshindwa kumng'oa kwenye uenyekiti ,sembuse rais aliyechaguliwa na watanzania wanyonge
..
Watanzania wanyonge ni nyie ccm, usilazimishe wengine kuwa wanyonge. Komeni na na jina lenu la kudhalilisha watu.
 
Ulithibitishaje na alihukumiwa wapi na lini? Kama huna Majibu basi nakushauri tu just keep your Pig Mouth shut please!
Tuhuma zilithibitishwa kwenye kamati ya maadili ya bunge, ile kamati iliyomtia hatiani Pascal Mayalla kwa wakati mmoja na CAG Prof. Asad kwa wakati mwingine.
kama unayo clip ya mamlaka ya uteuzi ikitoa sababu za kujaza nafasi ya nguruwechawene itupie hapa.
kama huna tuondolee busha lako hapa.
 
Back
Top Bottom