Simbachawene aagiza kukamatwa kwa Askari 5 wa Uwanja wa JNIA kwa uhalifu wa kusafirisha binadamu

Kipindi cha kampeni hizo Airport zimetumika kuwasumbua wapinzani sana kupitia hao hao Asikari ambao wamezoea kusumbua watu mno
Naunga Mkono Acha Police, Immigration, DED Na Wengine Wa Aina Hiyo Wanywee Hicho Kikombe Kilichofurika Na Kusukwasukwa
 
“Waziri Simbachawene akiwa kwenye kikosi cha anga, alipata wasaha wa kuruka kwa helikopta kuzunguka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam kwa takribani dakika 40 “
 
“Waziri Simbachawene akiwa kwenye kikosi cha anga, alipata wasaha wa kuruka kwa helikopta kuzunguka sehemu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam kwa takribani dakika 40 “
Ndiyo Raha Wanazopenda Hizo
😀😁😂🤣😃😄😅😊😉😆😆😎😋😊😊
Mheshimiwa Kessy Hili Jambo Lako Kaa Nalo Moyoni Tukirudi Salama Uanze Nalo Mwenyewe
Speaker Ndugai


Vijana Watapataje Nafasi, Jibu Lake Mjiajiri Acheni Uvivu
 
Aseme tuwataje mapolisi wajinga wajinga walioko huku mtaani! Kuna OC-CID mmoja wilaya mpya anakula rushwa hadharani!
 
Angalau wewe umetumia akili kuliko wengine wanaotumia chuki binafsi dhidi ya askari kusapoti usanii.
Majambazi kama hao wamejaa kwenye vyombo vyetu vya usalama. Ile vetting iliyokuepo enzi ya nyerere chondechonde irudishwe kwa ukamili. Siku hizi mtu anaingia jeshi la polisi kwa lengo la kutajirika kwa kula rushwa na kwa kusaidia vitendo vya uhalifu. Kuna majambazi kibao kwenye polisi.
 
Nimesoma alichosema Waziri juu ya uhalifu unaofanywa na askari polisi wetu hapo JKNIA na nimejifunza jambo MOJA KUU: Askari wetu ambao pia ni WATUMISHI wa UMMA wana NJAA KALI, hivyo katika kuhakikisha wanaweza kujikimu wamegeuka kuwa WAHALIFU tena dhidi ya raia wanaotakiwa kuwalinda ikiwa ni pamoja na mali zao.

Hawa si huwa wanafanyiwa ROTATION? Kwani uhalifu uliotajwa umeanza leo ili tuseme hao wanaotakiwa kukamatwa ndio wahusika pekee? Maana yake ni kuwa uhalifu huu ni muendelezo, hivyo natoa rai kuwa wakati umefika wa kuweka maslahi ya Watumishi wa umma kama kipaumbele kati ya vipaumbele tulivyo navyo sasa.
 
Bado sijamwelewa waziri wangu. Ina maana hao askari ndio wanatoa passports na viza kwa hao wasafiri, au?! Tuseme mtu kenda zake uhamiaji, kapata passport, kisha anaenda ubalozi, nako anapata viza. Kwahiyo mtu kama huyo akifika pale airport hao polisi walitakiwa kumdiswa kwa sababu anaonekana anaenda kwenye hizo nchi, au?!
Pale pa kuondokea huwa wanakuuliza unaenda kufanya nini? Ukijichanganya tu imekula kwako ijapokua viza inaeleza hilo lakini bado utahitajika supporting document
 
Yaani kupaa kwenye anga la Dar kwa Dakika 40 ndio ana conclude kuwa anga liko Salama.

Kama alivyowakataza Polisi kutoa taarifa za Matukio ya Moto kwa kuwa Zimamoto ndio wenye utaalamu nayo Zaidi, hata yeye alitakiwa kumuachia Waziri wa Ulinzi kupitia Air Force Commandant ya JWTZ, Maana ndio wenye weledi na Taarifa sahihi kuhusu Air Defence kuwazidi Polisi.
 
Pale pa kuondokea huwa wanakuuliza unaenda kufanya nini? Ukijichanganya tu imekula kwako ijapokua viza inaeleza hilo lakini bado utahitajika supporting document
Hizo ni expected questions ambazo watu wanafundwa vema kabla ya kufika hapo airport kwa sababu maswali kama hayo unaulizwa hata wakati wa kwenda kukata passport kwa mara ya kwanza.
 
Police mlioko humu waambieni wenzenu huko ma officini wenye makandokando yao waache Mara moja maana Magufuli safari hii kaamua kweli,kila taarifa itafanyiwa kazi,ni swala la muda tu!!
Mbona taarifa ya kuchapa viboko haifanyiwi kazi?Acha kulipuka,siyo Kila taarifa inafanyiwa kazi.
 
Unakuta kamanda wa polisi mkoa anazungumzia moto ulioteketeza duka huku wataalamu wenyewe wakiwa hawapo na hata hajawapigia simu, hii ni nzuri.

*Waziri Simbachawene aliagiza Wakuu wa Polisi wa mikoa kutozungumzia masuala yahusuyo moto huku akiwataka askari wa kikosi hicho wanaopatikana kila mkoa kuwa wazungumzaji wakuu wa masuala hayo.
 
Bado sijamwelewa waziri wangu. Ina maana hao askari ndio wanatoa passports na viza kwa hao wasafiri, au?! Tuseme mtu kenda zake uhamiaji, kapata passport, kisha anaenda ubalozi, nako anapata viza. Kwahiyo mtu kama huyo akifika pale airport hao polisi walitakiwa kumrudisha kwa sababu anaonekana anaenda kwenye hizo nchi, au?!
HUYU WAZIRI NI KILAZA SANA. NI BORA UKAFE NA NJAA DUBAI KULIKO KUFA KIZEMBE BONGO.

FURSA ZOTE WAMEZIBA HAKUNA ANAYEPENDA KUJILIPUA HUKO UARABUNI.

NA SIO WOTE WANAOENDA UARABUNI WANATESWA HUO NI UONGO.

2016 PALE UBALOZI WA OMAN PALIKUWA PANASOMA KUNA WATANZANIA ZAIDI YA ELFU 4 WANAFANYA KAZI OMAN.

LEO HII HATA ELFU 10 WATAKUWA WAMEFIKA NA WOTE WANATUMA HELA NYUMBANI.
 
Back
Top Bottom