Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
 
Kweli kabisa. Ile ya offside ndo nimeshangaa sana
 
Duu si kwa mbeleko ile! kweli mmedhamilia!!!! Ndio mana vi timu vyetu vinachapika tu! Ligi mbovu hutoa timu mbovu ya Taifa! Tukutane Misri mwezi Juni
 
Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
Kwa maslahi mapana ya Taifa letu,mpira wetu kutangazika,wacha simba achukue ubingwa tuu maana ndio anatendea haki uwakilishi wa nchi Mambo mengine kawaida kwenye soka mwaka 2002 katika kufuzu kuja ujerumani World Cup ya 2002 Brazil vs Argentina ilibidi Brazil apewe penati 4 ili ashinde FIFA na America ya kusini ipate mwakilishi Bora na bingwa wa kihistoria....baada ya kubebwa Brazil akaenda kutwaa kombe la dunia kule ujerumani kwaio mda mwingine Kuna kukamiwa kwa Timu kwenye mechi za ndani ndomana hata unaona kwenye mechi fair play mchezaji mkubwa huwa analindwa...kwaio TFF kulinda Timu kubwa kwenye mechi ni fair play tuu
 
Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
Umejifanya kua mwa simba lakini si mwanasimba.
Kwenye suala la offside kwenye refa kakosea may be hajui tafsiri ya offside.
Ila swala la penati zote zilikua halali ukiangalia mpira wale mabeki waliunawa.
Lakini hatuwezi kukupinga hoja yako, ila ni kwa nini unasema hazikua penati halali?
 
Hamna timu inawatu wa ajabu kama yanga,wakishinda utawaona wakipayuka oooh tuko vizuri ,nakocha nao pia utasikia ubingwa niwetu but ngoja wafungwe sasa yaani utasikia ooh refa ,ooh tff ...very stupid clud.....simba juzi alifungwa na kagera but hujasikia simba ikilalamikia refa wala tff...Zahera msemaji yeye,kocha yeye ,meneja wa timu niyeye
 
Bwege mwenyewe bwana povu uko kwa yanga yenu walioanza mgomo
Wambie sisi nawao nani mabwege?? Maana jana wachezaji wa yanga walisusia mazoezi kisa mshahara mwezi wa tano hawajalipwa,sasa mshabiki matonya fc unakuja hapa nakusema simba nimabwege,tumefka robo fainal ya caf nyie mlifka mwaka gani huku??
 
Hamna timu inawatu wa ajabu kama yanga,wakishinda utawaona wakipayuka oooh tuko vizuri ,nakocha nao pia utasikia ubingwa niwetu but ngoja wafungwe sasa yaani utasikia ooh refa ,ooh tff ...very stupid clud.....simba juzi alifungwa na kagera but hujasikia simba ikilalamikia refa wala tff...Zahera msemaji yeye,kocha yeye ,meneja wa timu niyeye
kwa hilo la Zahera kuongea ungekaa kimya ukaficha aibu yako. Kufungwa au kushinda kwa timu ni suala la kiufundi, timu ikifungwa unataka aseme Nani? Liverpool ikifungwa huwa unamsikia Nani anaongea?
 
Umejifanya kua mwa simba lakini si mwanasimba.
Kwenye suala la offside kwenye refa kakosea may be hajui tafsiri ya offside.
Ila swala la penati zote zilikua halali ukiangalia mpira wale mabeki waliunawa.
Lakini hatuwezi kukupinga hoja yako, ila ni kwa nini unasema hazikua penati halali?

Nice
 
Back
Top Bottom