Simba yaifunga KMC kwa magoli 2 -1 uwanja wa CCM Kirumba

Mmemsikia Kocha KMC nyie Makocha wa Mitandaoni..?
Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
 
Mkuu,kwani penati zote mbili hawakushika??
 
Kwa maslahi mapana ya Taifa letu,mpira wetu kutangazika,wacha simba achukue ubingwa tuu maana ndio anatendea haki uwakilishi wa nchi Mambo mengine kawaida kwenye soka mwaka 2002 katika kufuzu kuja ujerumani World Cup ya 2002 Brazil vs Argentina ilibidi Brazil apewe penati 4 ili ashinde FIFA na America ya kusini ipate mwakilishi Bora na bingwa wa kihistoria....baada ya kubebwa Brazil akaenda kutwaa kombe la dunia kule ujerumani kwaio mda mwingine Kuna kukamiwa kwa Timu kwenye mechi za ndani ndomana hata unaona kwenye mechi fair play mchezaji mkubwa huwa analindwa...kwaio TFF kulinda Timu kubwa kwenye mechi ni fair play tuu
Angalau umenena, lkn pia kikosi lazima kifumuliwe. Kuna wachezaji wengi tu hawana hadhi na kiwango cha kuichezea Simba hii ya Club Bingwa Afrika.
 
Mimi si shabiki ni mwanachama hai wa Simba Sports Club lkn kwa hali hii niliyoiona kwenye mchezo wa leo siyo sawa, tumebebwa mno mpaka mpira umepoteza ladha. Penalty zote mbili hazikustahili na pia hiyo iliyotafsiriwa kama offside kwa KMC haikuwa offside ni vile tu kuna jambo linaendelea nyuma ya pazia. Ningefurahi zaidi kama ubingwa wetu ungepatikana kwa nguvu na uwezo wa wachezaji na benchi la ufundi ili tuwe na nafasi ya kuwapima wachezaji wetu kuelekea mashindano makubwa ya Club Bingwa Africa.
Sasa usipochukua ubingwa huko kimataifa utaenda kwa njia gani acha kutuchelewesha wewe refa
Halafu ukitoa maoni mkuu si lazima sana ujitambulishe ni mwanachama hai wa klabu fulani si ueleze tu msimamo wako kama wewe
 
Back
Top Bottom