Simba Yaichapa AFC Leopard 1-0

Simba imara simba imara, ........... makopo ya kangala!, jamani kawimbo haka ni kamda mrefu sana!, sasa anae kakumbuka naomba anijazie hapo kwenye dash dash!!!
 
yanga mdebwedo...........ajaze
Simba imara simba imara, ........... makopo ya kangala!, jamani kawimbo haka ni kamda mrefu sana!, sasa anae kakumbuka naomba anijazie hapo kwenye dash dash!!!
 
Hivi Yanga wameogopa zile bao tatu huenda zingejirudia eti? Afu Simba, mechi kama hii si wangemchezesha Berko tu?

kwa taarifa ni kwamba Ivo anafanyishwa majaribio/mtihani/mazoezi na Berko kwani ana miezi sita tu, anyway ukija mazoezini utaelewa ninachosemabut kifupi Berko ndiyo mwalimu wa Ivo
 
messi+na+shikokoti.jpg
 
Back
Top Bottom