Hawa KCC mbona wamekuwa wagumu hivyo?
Hawamtakii mema Rage, ajiandae kuanzisha, upepo unaokuja ni kimbunga sio upepo mwanana wa baharini, hautapita hadi aachie ngazi.
dakika 90 mpira umesimama baada ya kipa wa KCC kuumia na Zahoro Pazi INN Singano Messi OUT
Hata hii draw ni poa tu: walianza na 1-0 kisha 0-0, next game 0-1 na hatinaye 0-2. Wanajua hesabu za sequence wataelewa lakini wabishi hawatakubali.
Pointi nne si haba, tukikutana na KMKM lazima achezee kichapo na KCC na AFC Leopard vyovyote itakavyokuwa lazima tuingie hatua inayofuata.
Raundi hii mtavuka, ishu ni kwenye mtoano hapo ndipo safari ya Rage itakapohitimishwa na wazee wa bungeni.
Mtani kama Sequence unazijua kwanini umekula tatu(mtani jembe)wakati game ya mwisho ulitoa SuruuHata hii draw ni poa tu: walianza na 1-0 kisha 0-0, next game 0-1 na hatinaye 0-2. Wanaojua hesabu za sequence wataelewa lakini wabishi hawatakubali. Maumivu ya kichwa huanza ...
Ina maana Dar derby inayofuata itakuwa Simba 4-1 Yanga?Hata hii draw ni poa tu: walianza na 1-0 kisha 0-0, next game 0-1 na hatinaye 0-2. Wanaojua hesabu za sequence wataelewa lakini wabishi hawatakubali. Maumivu ya kichwa huanza ...
Mtani kama Sequence unazijua kwanini umekula tatu(mtani jembe)wakati game ya mwisho ulitoa Suruu