Simba Yaichapa AFC Leopard 1-0

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
Na Mahmoud Zubeiry, Zanzibar
BAO pekee la kiungo Amri Ramadhani Kiemba, usiku huu limeifanya klabu ya Simba SC iuanze vyema mwaka 2014 baada ya kuifunga AFC Leopard ya Kenya 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi, Kundi B, Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Simba wakishangilia bao lao pekee leo Uwanja wa Amaan
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000

Kiungo wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akimlamba chenga ya hatari beki wa AFC Leopard ya Kenya, Joseph Shikokoti kabla ya kutia krosi iliyozaa bao pekee la Simba SC lililofungwa na Amri Kiemba jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar katika mchezo wa Kundi B, Kombe la Mapinduzi. Simba ilishinda 1-0
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000

Mabehewa, safari Kigoma mwisho wa Reli; Ramadhani Singano akiwatoka mabeki wa AFC Leopard, wa nyuma yake ni Mussa Mudde aliyewahi kuchezea Simba SC pia
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000

Mussa Mudde kaanguka kushoto, Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa Simba SC kulia na mchezaji mwenzake, Chombo Redondo anajiandaa kwenda kuchukua mpira bila upinzan
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
asanteeeeeeeeee
Na Mahmoud Zubeiry, Zanzibar
BAO pekee la kiungo Amri Ramadhani Kiemba, usiku huu limeifanya klabu ya Simba SC iuanze vyema mwaka 2014 baada ya kuifunga AFC Leopard ya Kenya 1-0 katika mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Mapinduzi, Kundi B, Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Simba wakishangilia bao lao pekee leo Uwanja wa Amaan

simba mwendo mdundo kama Arsenal..

Hongereni...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom