- Mwenyekiti Yanga-Yusuph Manji (MTANZANIA)
- Mwenyejiti wa Usajili-Bin Kleb (MTANZANIA)
- Kocha Mkuu (MZUNGU): Hired to be fired cf. Cardiff City FC)
- Kocha Mkuu Msaidizi:MKWASA, C. B. (MTANZANIA a.k.a MTOTO WA NYUMBANI)
updates za Kcc leo usiku bajameni..??
Mapumziko SIMBA 0 KCC 0 mpira umebalance kwa timu zote
dakika 65 SIMBA 0 KCC 0
Hawa KCC mbona wamekuwa wagumu hivyo?