Simba wanakaribia kupiga treble ya kukosa vikombe vitatu 2025

Titicomb

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2012
Posts
15,505
Reaction score
27,501
Mpira hauchwezwi kwenye mdomo.
Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu".

Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana mamba kabla hajavuka mto?
Msemaji wao Ahmed Ali naye akadandia hiyo hoja kichwa kichwa wakajipa ujasiri wa kizembe complacency badala 'wagangamale' kiume.
Inavyo onekana Simba wasipojikaza kiume watapiga treble ya kukosa makombe yote matatu waliyo tegemea msimu huu. Yaani kukosa CAF Confederation Cup, NBC Premier League Cup, na CRDB Confederation Cup.

Kinyume chake watani wao Yanga wanaweza kupiga treble ya makombe matatu. Yaani NBC Premier League Cup, CRDB Confederation Cup na Muungano Cup endapo TFF, Bodi ya ligi na akina Tatu Malogo(Waamuzi) wasipo wasaidia Simba.
Matusi ruksa, kumbuka tu ukinitukania wazazi wangu basi tusi hilo liwaendee wazazi wako mara 7.
 
Kama namuona vile mchambuzi Ambokile anawananga 5imba "Nasema hivi 5imba wakajifunze kwa Eng.Hersi Saidi jinsi ya kucheza fainali za CAF".
Angalau Yanga walitoa aggregate ya 2-2 na USM Algiers.
Kanuni ya away goal iliwanyima kombe.
 
Watapewa la NBC na bodi ya ligi maana yanga awatocheza iyo mechi na wao wakajiliwaze nalo
 
1000136498.jpg
 
Kama namuona vile mchambuzi Ambokile anawananga 5imba "Nasema hivi 5imba wakajifunze kwa Eng.Hersi Saidi jinsi ya kucheza fainali za CAF".
Angalau Yanga walitoa aggregate ya 2-2 na USM Algiers.
Kanuni ya away goal iliwanyima kombe.
Angalau ni kubeba Kombe. Hayo mengine ni kufarijiana tu.
 
Wanasimba wenzangu tusijidanganye, Berkane sio Al Masry au Constantine

Kwenye uzi wa mechi niliongea makolo watakandwa tatu bila ikawa mbili na nikasema watasema tutapindua meza na ndo imetokea , sasa nasema tena mechi ya mwisho itakuwa droo ya goli moja moja, nao makolo watarudi kwenye ndondo ligi kuu kuendelea kuhonga marefa na niwaambie tu mwaka huu hakuna...

Siku ingine makolo msome nikiandika kuhusu nyie na mfanyie kazi, kama kawaida niko Maskani Buza Mpalanger nawazoom makolo wakilialia!!
 
Mpira hauchwezwi kwenye mdomo.
Captain Mohamed Hussein a.k.a Tshabalala alianza tambo mapema "tunapiga treble ya makombe matatu".

Wanaojua mpira hawakumuelewa kabisa. Wakajiuliza mbona anatukana mamba kabla hajavuka mto?
Msemaji wao Ahmed Ali naye akadandia hiyo hoja kichwa kichwa wakajipa ujasiri wa kizembe complacency badala 'wagangamale' kiume.
Inavyo onekana Simba wasipojikaza kiume watapiga treble ya kukosa makombe yote matatu waliyo tegemea msimu huu. Yaani kukosa CAF Confederation Cup, NBC Premier League Cup, na CRDB Confederation Cup.

Kinyume chake watani wao Yanga wanaweza kupiga treble ya makombe matatu. Yaani NBC Premier League Cup, CRDB Confederation Cup na Muungano Cup endapo TFF, Bodi ya ligi na akina Tatu Malogo(Waamuzi) wasipo wasaidia Simba.
Matusi ruksa, kumbuka tu ukinitukania wazazi wangu basi tusi hilo liwaendee wazazi wako mara 7.
kesho injinia aite press tutangaze tunacheza ili tulikoroge kolo bichwa
 
Vikombe viwili tayari wamevikosa.
Bado NBC Premier League.
Tunaomba refa makini mfano wa Arajiga.
 
Cha ajabu team inayokaribia kuchukua ubingwa mara nne mfululizo ndio inalalamika kuliko team ambayo haijachukua huo ubingwa miaka minne haya ni maajabu.
 
Tetesi Fadlu Davis anasitishiwa Mkataba baada ya kufungwa na Singida Black Stars.
Cha ajabu team inayokaribia kuchukua ubingwa mara nne mfululizo ndio inalalamika kuliko team ambayo haijachukua huo ubingwa miaka minne haya ni maajabu.
 
Tayari yametimia.
What is written shall come to pass.
Simba wapiga treble ya kukosa makombe matatu.
Yanga inakaribia kupiga Quadruple
Ambayo ni (1)Muungano Cup, (2)NBC PL, (3)CRDB Federation Cup, na (4)Community Shield.
Matatu tayari bado CRDB Federation Cup.
 
Simba inabidi wake chini wafanye tathimini makombe yote wameyakosa vipi?
Nini wafanye?
Mwisho wa siku hakuna Yanga imara bila Simba imara.
 
Tayari yametimia.
What is written shall come to pass.
Simba wapiga treble ya kukosa makombe matatu.
Yanga inakaribia kupiga Quadruple
Ambayo ni (1)Muungano Cup, (2)NBC PL, (3)CRDB Federation Cup, na (4)Community Shield.
Matatu tayari bado CRDB Federation Cup.
Yanga nao waache uroho basi, makombe yote hayo abebe yeye tu khaaa!!
 
Back
Top Bottom