Simba inavyotumia nguvu kubwa kuhamisha agenda ya kukosa vikombe msimuu huu

Sheikh23

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,128
1,842
Wanajamvi na wanaspoti habari za wakti huu....

Nitangulie kutoa Pole kwa Wanayanga wenzangu,ila pia nitoe pongezi kwa viongozi,socialites & pundits wote ambao ni wanazi wa simba kwa kuzika madhaifu ya timu yao,kwa kusajili magalasa na kukosa vikombe[nbc pl️,Azam sports federation️,Caf cl️]

Simba sc fans na management walichobakiza ni kusubiria anguko la Yanga Sc,hii imekuwa faraja kwao na mashabiki wao,ni sawa na masikini anayeshindia uji wa chumvi kumcheka tajiri kula ugali na dagaa,inahitaji degree ya uwendawazimu kuwa shabiki wa thimba,yanga inayochekwa na kubezwa ndio mabingwa wa ligi,na ikimpendeza Muumba,ALLAH S.W ndio mabingwa wa Caf confederation cup na Azam sports federation

Mashabiki wa yanga tuendelee kubishana na kutaniana na jamaa zetu,kwa kipindi hiki hii ni tiba kwao,hawako sawa psychologically,kubishana na kuibeza yanga now ni sehemu ya uponyaji na kutoa sumu zilizojaa kwenye miili yao,tuwe sehemu ya tiba kwao

Niwakumbushe tu fainali ni Home & Away,yanga amefungwa ila hajapoteza kombe,yanasemwa mengi mara Usm Alger ana home ground advantage na blah blah nyingi,ila wanajisahaulisha kuwa mpk kufika hapo yanga ametoa vichapo vingi Away.

Kwenye Soka lolote linawezekana,Jwaneng Galaxy alifanya kisichotarajiwa na wengi,sidhani kama hili Kolos wamesahau.

Twende tukapindue meza,sina shaka na kikosi,kocha nabi ipo shule kubwa ameipata kupitia game ya jana,Naamini atarudi kimbinu zaidi...

"Daima Mbele,Nyuma Mwiko"

FB_IMG_1685361231327.jpg
 
"Daima Mbele,Nyuma Mwiko"View attachment 2639277
Toa mwiko kwanza uongee vizuri
 
Hakuna kitu kama hicho,tunachojua JANA MMEKANDWAAAAWE NDO UNATAKA KUFIFISHA MATOKEO YA JANA,NASEMAJE????TUKO NA NYIE WIKI NZIMA HII,HAMTAKAA KUSKIZA SPORTS PROGRAMMES ZOTE..
 
Back
Top Bottom