Simba wamepewa ulinzi

Simba wamepewa ulinzi

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,027
Reaction score
20,411
Tunashukuru serikali kupokea Ombi letu la Wana wa Msimbazi kupewa ulinzi.
Sasa mashabiki wote wa Simba jiandaeni kwa ulinzi
FB_IMG_16133233404423569.jpg
 
Habari.

Ukitazama wasanii wa kike wa bongo wa wapo wapo hata hawaelewi wenyewe nini wanafanya kwenye tasnia ya mziki ukiongeza na maisha yao binafsi.

Wamekuwa maisha yao binafsi ndio wanatumia badala ya kutanguliza kazi zijitangane kutokana na ubora wa kazi zao ambazo zinaishi kwa muda mrefu.(Kama ni bora)

Ndio maana wasanii wa kike ukiwataja wa muda wote sidhani kama Lady Jaydee hatokuja kwenye hiyo list.

Angalieni huyu mwanadada (Lady Jaydee) alifanya nini na kuweza kuwa hadi leo.

Nawasilisha.

Cc: Kichwa Kichafu

Na hasa baada ya wendawazimu uliofanywa na utopolo baada ya kukeketwa na Mbeya City tujihadhiri na hawa vichaa.

Naskia uto wanatembea na mawe mifukoni...

WanaSimba tuwe makini,. Uto wana wivu uliopitiliza....

Hata hivo kama ulinzi upo hakuna matat


Ahsante kamanda Siro.Ili jambo nimelitamani kwa muda sana.

Bado swala la lifti,mashabiki wa Yanga wanaomba sana lift na kupiga vizinga serikali iwadhibiti.

Ni kweli wanatembea na mawe mtaumizwa chukueni tahadhariView attachment 1702616

😱😁😁😂👍 Na hapo anajiandaa kurusha jiwe kisha atimue mbio au apande juu ya mti. Utopolo mna matatizo sana.
Inatakiwa tuwakere zaidi
 
Nuin

Nyingine hiii hapa.
Kwa shabiki wa aina hii hashindwi kukua au kukupa ulemavu wa kudumu. Hawa watu wapewe elimu/Tiba ya Kisaikolojia
Noma kweli
 
Back
Top Bottom