MtaniHahahaaa. Badala tuteseke sisi cha ajabu mnateseka wenyewe. Lol.
Haya mkimaliza kujifurahisha mtuambie. 😅😅😅
Aah wappii!! Huo ulinzi tungeanza kupewa sisi watu wa Man U. 😅😅Kama bado hawajapata ulinzi waseme tuwatumie
Niambie Mtani. Adimu sana siku hizi?Mtani
Nipo mtani tunapishana tu, ulinzi ninao toka siku mingi 😊Niambie Mtani. Adimu sana siku hizi?
Vp ushapata ulinzi eti? Teh
Hahahaaa. Hamna kitu ka hiyo. LolNipo mtani tunapishana tu, ulinzi ninao toka siku mingi 😊
Tatizo ubishi ni jadi yenu, we are next level wala hatuwatambiiHahahaaa. Hamna kitu ka hiyo. Lol
Tupo Mtani naona ni mwendo wa kututambia tu siku hizi. Ila wan dei yesi.
Hahahaaa. Haya bana Mtani.Tatizo ubishi ni jadi yenu, we are next level wala hatuwatambii
Ni muhimu sana kwa mustakbali wa mashabiki wa Simba.View attachment 1703087
Mwendo wa kuomba ulinzi