Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,340
- 11,085
Tunaomba ulinzi uimarishwe,Jana jioni watu wasio fahamika,wakiwa wamevalia tisheti za njano zipo kama chupi ya ex wangu mwajuma walinirushia mawe baada ya matokeo na Al Ahl kutoka!
Chonde chonde serekale tutakufwa ulinzi unahitajika kipindi hiki kwa wana mchimbazi wote! cc Mambosasa.
Nadanganya wadau?
Chonde chonde serekale tutakufwa ulinzi unahitajika kipindi hiki kwa wana mchimbazi wote! cc Mambosasa.
Nadanganya wadau?