Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
mbona haoni tim yoyote bali yanga wapo wanajenga vibanda sana hadi wanaboa
Huyu mgeni wa Star TV anayehojiwa na A. Tilata anaonekana ni mnazi wa Yanga sana. Sijui wamemtoa wapi lol!
Upande wa nani?Mungu yupo upande wetu nimeamini
Yule mtabiri aliyesema kuwa kibao kitageuka na Yanga kushinda 2-1 anatisha,kwani ndo tunapoelekea
Dakika chache zilizopita nilikuwa nasikiliza Capital Radio walikuwa na Simba v Yanga match preview programme. Mmoja wa wachangiaji waalikwa alikuwepo "Dk" Uwesu ("mtaalamu" wa tiba asilia na mtabiri wa nyota).
Nanukuu hapa chini alichokisema "Dk" Uwesu...
"Utabiri wa mechi ya Simba na Yanga ni mgumu sana. Lakini hadi dakika hii inaonyesha Simba 2 na Yanga 1. Hata hivyo, kwa kawaida Jumatano huwa ni siku ambayo hutawaliwa na rangi ya njano. Hii maana yake nini? Tafsiri yake ni kwamba Simba watatawala sana mwanzoni mwa mchezo lakini Yanga nao watatawala sana mwishoni mwa mchezo na hivyo kinyota matokeo ya mchezo yatageuka kuwa Simba 1 Yanga 2"
Unamaanisha huyu hapa chini, siyo?
Muongo huyo mtabiri.Yule mtabiri aliyesema kuwa kibao kitageuka na Yanga kushinda 2-1 anatisha,kwani ndo tunapoelekea
Hii sub ndiyo niyokuwa naisubiri tangu first half.Nimemkubali Kocha wa Yanga,Nizar out Kavumbagu In
Umesema kweli jombaa lakini naomba unikumbushe Liverpool imechukua Ubingwa wa Premier kwa mara ya mwisho mwaka gani vile?
Coaches are hired to be fired!