Simba vs Yanga: Oct 03, 2012

baamedi huyu mboni anataka kuaribu mkeka wangu...
 
Safi sana Nadir.............Yellow card

Full Time

Yanga 1-1 Simba
 
Hivi Mrisho Ngasa alikuwepo uwanjani kipindi cha pili?
 
Pamoja na kucheza 10 uwanjani.............Yanga wamewazidi Simba mchezo...

Said Buhanuzi ni booonge la striker.....
 
Juma Kaseja Your a Star Bila wewe....
 
duuu kweli si simba wala yanga wote hawajui kitu...

ft droo ya 1 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…