FULL TIME: Simba Vs TP Mazembe(0-1) | Simba Day | Mkapa Stadium

imekuaje huko?
Mkuu ndo nimefika muda si mrefu bahati nzuri nimejikuta mechi kwenye dk ya 35, tangu hiyo dk naona tunapigwa msako hatari, team haikai kabisa na mpira.

Inamaana Chama na Miquisone ndo walikuwa na impact kubwa kiasi hiki??? Maana team imebadilika kabisa.

Binafsi kwa uchezaji huu, inabidi tukaze mazoezi kuelekea CCL.
 
Bwalya anacheza zaidi na jukwaa kuliko kuleta impact katika mechi. Kule mbele haonekani, mpira upo mbele yeye yuko behind.
 
Mkuu ndo nimefika muda si mrefu bahati nzuri nimejikuta mechi kwenye dk ya 35, tangu hiyo dk naona tunapigwa msako hatari, team haikai kabisa na mpira.

Inamaana Chama na Miquisone ndo walikuwa na impact kubwa kiasi hiki??? Maana team imebadilika kabisa.

Binafsi kwa uchezaji huu, inabidi tukaze mazoezi kuelekea CCL.
Aisee
 
Back
Top Bottom