Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 1,010
- 2,526
Bonge la move
imekuaje huko?Hivi tunacheza nini?
😂😂😂😂Hii simba tumepigwa hiii

Mkuu ndo nimefika muda si mrefu bahati nzuri nimejikuta mechi kwenye dk ya 35, tangu hiyo dk naona tunapigwa msako hatari, team haikai kabisa na mpira.imekuaje huko?
Maana team imebadilika kabisa. 

Huyu tumpe muda Ni Machine hiiAiseeMkuu ndo nimefika muda si mrefu bahati nzuri nimejikuta mechi kwenye dk ya 35, tangu hiyo dk naona tunapigwa msako hatari, team haikai kabisa na mpira.
Inamaana Chama na Miquisone ndo walikuwa na impact kubwa kiasi hiki???Maana team imebadilika kabisa.
Binafsi kwa uchezaji huu, inabidi tukaze mazoezi kuelekea CCL.
Ndio ukweli wenyeweHii simba tumepigwa hiii