Pax Vobiscum
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 455
- 765
Mkuu umeongelea wanyama watatu tofauti huyo anayebeba mamba si chui Ni Jaguar na wale si mamba km Hawa wa Africa ,Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Ha ha ha!!!Daah WANA-YANGA wa JF wana hasira na Simba kichizi.
We nae unachanganya madesa. Uko tanapa ni lazima utawajua big five, sasa kwani kuna pori la tanapa lina tiger? Utamjuaje wakati hayuko kwenye mapori ya tanapa?Mimi nipo apa Tanapa usinibishie kijana wa maghorofani. Africans Lions, Africa leopards, African Buffalo, Africa elephants and African rhino hawa wanyama ni Habari nyingine. Ndio maana Nimekuuuliz umeshaona simba, chui, nyati, tembo na kifaru anafugwa na unaenda kumshika kama huyu Tiger. Huyu tiger kuwa na uzito Mkubwa haimaanishi kupambana ni sawa na kuchukua mnyanyua vyuma na mcheza kareti. Africans leopards na tiger. Tiger hamuwezi hata kwa sembuse hawa wanyama wanashambulia hatari sana. Hao wanyama wa kwy movie usiwahhsishe na iyo big five.
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁Tiger ulishamuona uso kwa macho njia nyembamba?
Kuwa na spirit ya kupambana haimaanishi lazima ushinde ni sawa uchukue mtaleban eti kisa ana roho ngumu na spirit ya kupambana kuwa atamshinda navy seal.Kijana Unaandika kwa kulinganisha kwy YouTube. Ngoja nikupe hii nimekwambia simba ana msuli na mfupa mzito na kichwa kikubwa kulinganisha na Tiger. Tiger ana 320kg na simba ana 250kg. Simba ana msuuli mzito na fighting ya hali ya juuu. Wanyama wanaokula nyama wana fighting ya hali ya juuu tofauti na wala majani. Hawa Paka wote ukija kwy mashambulizi Simba anakuwa king of the Jungle kwa sababu ya uvumilivu wa kupambana na swala la kussema kwamba tiger anakula tembo izo ni chumvi labda wale tembo wa India ambao wanawatumiaga kupanda kama farasi. Toka mjini uende mbugani ukamshangae simba sio kumsifia huyo tiger ambae hata kwa macho ujamuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee sio poa usisahau pia jamaa usiku anaona vizuri zaidi ya mchanaHahahahahahha hivi Mkuu ni kweli macho yake yana mwanga mkali sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro sio kila kitu chakuchangia unaharibu thread toa fact kama wengineKama hujui kuwinda, kulinda utalinda vipi?
Simba dume kawa mama wa nyumbani, daily anashinda na vitoto ana dimba nao wakati demu wake anataabika huko kuwinda
😀😆😀Mkuu hiyo ni signature yakeHahaha sasa hiyo avatar ina nini?
Acha mikwara kijana
Umeielewaje hiyo post kwanza?Bro sio kila kitu chakuchangia unaharibu thread toa fact kama wengine
Nimekuja kuelewa mwishoooni😀😆😀Mkuu hiyo ni signature yake
Mwanzoni fresh sina neno ila ivi vingine ni porojo tu hamna kitu vinachafua threadUmeielewaje hiyo post kwanza?
Usije ukawa unadai fact wakati ukipewa huwezi kuzijua
Wewe uliyepo uko Tiger Country ndio unajua kwamba tiger ni mkali kuliko simba au upo kwy mbuga ya YouTubeWe nae unachanganya madesa. Uko tanapa ni lazima utawajua big five, sasa kwani kuna pori la tanapa lina tiger? Utamjuaje wakati hayuko kwenye mapori ya tanapa?
Simba na tiger ni jamiii ya Paka. Tusije ukawa unamfananisha simba na mbwa. Mfano wangu unaenda kwamba Paka wa nyumbani Anaweza akapambana na mbwa na akamshinda mbwa, kwa iyo fighting ya wanyama inategemea na skills ya mnyama mla nyama ukitofautisha na myama mla majani¶ Simba ni Habari nyingineKuwa na spirit ya kupambana haimaanishi lazima ushinde ni sawa uchukue mtaleban eti kisa ana roho ngumu na spirit ya kupambana kuwa atamshinda navy seal.
Mwanzoni ambako ni fresh na huna neno, mbona sijakuona ukinisifia kua nimeandika fact?Mwanzoni fresh sina neno ila ivi vingine ni porojo tu hamna kitu vinachafua thread
Watazamaji daima ndo wakosoajiMwanzoni ambako ni fresh na huna neno, mbona sijakuona ukinisifia kua nimeandika fact?
Wewe umeweka hoja gani humu ambayo ni fact zaidi ya kuharibu uzi kwa kumshambulia mchangiaji?
Aaah sema nacho kiona we uko upande wa simba hivyo hupendezewi na hoja zinazoididimiza simbaWatazamaji daima ndo wakosoaji
Kwenye fresh hongera sana mkuu
Teh teh kweli mkuu me nipo upande wa simba kwa uzamini wa member hapa jukwaani nimeangali upande nimeona simba kawazi wote ndo maana kapewa ukingAaah sema nacho kiona we uko upande wa simba hivyo hupendezewi na hoja zinazoididimiza simba
Katika mapambano yaliyopambanishwa kati ya simba na tiger ambayo yamefanyika mara 1902 TIGER ameibuka mshindi 95% kwa kuua SIMBA 1732 huku SIMBA akishinda mapambano kwa kuua TIGER 170
Wapo jamii ya chui wanaingia kwenye maji mamba anapandishwa,siku niliona huo mpambano zilipigwa baadae yule jamii ya chui akazamishwa nikajua kwisha habari yakeSidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguar [emoji249] anapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator [emoji246] ... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth [emoji288] ) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs
Unamuongelea caiman na sio Mamba mzee baba.Wapo jamii ya chui wanaingia kwenye maji mamba anapandishwa,siku niliona huo mpambano zilipigwa baadae yule jamii ya chui akazamishwa nikajua kwisha habari yake
Bwanae si akaibuka na mamba na akamtoa kwenye maji nafikiri Kuna sehemu mamba akikamatwa hana ujanja inakuwaga ni kichwani kwa juu
Sent using Jamii Forums mobile app