Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,843
- 7,250
Mkuu unaongea kishabiki ama una fact? Huyo siberian tiger aka amur msikie hivyo hivyo. Ana mkamata tembo mwenyewe kama mmoja na kumuua. Huku Africa si simba wala chui wa Africa mwenye uwezo huo unless wamzingire.
Angalia hii picha ya amur amejazia muscles kama anabeba chuma View attachment 1434536
Huyo kofi moja tu anammaliza chui wetu.
Simba pekee aliekuwa na ukubwa kama au kukaribia wa Amur ama bengali tiger ni barbarian ama atlas lion waliokuwa wakipatikana jangwa la sahara sema wamepotea huko jangwani wapo wachache zoo.
Walikuwa ni wakubwa na manyoya hadi tumboni.
na katika woote hao ma big cat ,jaguar ndio anaongoza kwa kuwa na strongest biteforce even kuliko simba na tiger ....
Nilishaona battle ya simba vs tiger wakuu sio poa, ilikua hivi wote walikua shimoni sijui waliingia vipi so hakuna aliekua anaweza kutoka yani ulipigwa mkono sio poa ilifikia point tiger alikua hawezi kuamka alikua anapigana kalala chali simba ndo alikua bado yupo active alikua anapigana akiwa bado kasimama ila kajeruhiwa balaa dam zimamwagika. Mwisho wakawa wote wanatazamana. Nilichogundua simba anapumzi kuliko tiger so naweza kusema simba ni habari nyingine anapigana mpaka kufa.
Kupigana ni technique mkuu sio ukubwaUnawajua Siberian tiger wewe? Alafu Unaamini vipi hiyo video ni yakweli? Alafu tiger mwenyewe anaonekana hapo mdogo wakati tujuavyo tiger ni mkubwa more than lion...
duu mkuu hili battle linaonekana nila century sema tuu kma usemavyo halikuweza kuwekwa kwenye mkandaa ...soo boss wote waliaga maisha bila bingwa ??tulishudia timbwili la kiboko na simba nakumbuka show tulikua tunafukuza ndege kipindi cha mpunga unachua asikuambie mtu tulikua juu ya kibanda asikuambie mtu kiboko na kifaa cha kazi!Simba sijiu alijitela vipi mpaka akamzingue kiboko ulipigwa mkono kama masaa 4 hivi mashamba yalivurugika ndege walihama mazima baada yakuona kuona ukimya tukaa tena kama msaa2 hivi ndio wazee wakashuka kwenda kucheki waliovyoona usalama tukaitwa nilichoka sana wale jamaa walinyofoana sana nyama mzee simba mpaka anarudisha namba kwa muumba mkono 1 tuliukuta kama mita 20 hivi nje ya ulingo kiboko hakua na jicho 1 ile vita ingekua zama hizi za smartphone ingekua na la kuonyesha mechi ilisha simba 0-kiboko 0 ila sijajua nani alieanza kuka roho
Kupigana ni technique mkuu sio ukubwa
Big game?Simba Dume hawezi poteza Nguvu na Pumzi zake kuwinda Swala au Nyumbu, hizo ni kazi za Jike. Dume ana winda Big Game Nyati, Twiga nk
Mkuu hujaona clips simba anakimbia nyati au fisi!Jua kitu kimoja tu adimba haogopi na hachagui pambano .
Chui milia anapima upepo ndio maana simba akaitwa mfalme yaaninkwke ni do or die wakat tiger ni do or run.
Ila pound for pound lion has no chance with tiger apart from being fearless
Hakuna mnyama porini mwenye tabu kama SIMBA DUME, simba dume akizembea anaweza kuzeeka bila kuoaKwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Kwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Mkuu hapo juu si nimetoa ushuhuda au hujaona?Sawaa..je umeshuhudia wakipigana?
Si zani kama upo sawa kuna clip week iliyopita niliona chui ametoka na mamba ndani ya maji amembana kama churaSidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguar 🐆 anapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator 🐊 ... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth 🌍 ) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs
Kweli kabisa mkuuu. Nakuongezea kwamba Tiger vs African Leopards. Nakuhakikishia huyo tiger anakimbia pambano
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kupewa ufalme wa Pori si kwamba ata win kila battle ila ni ule ujasiri wake wa Kuto kuogopa Chochote kile Simba ana patience kubwa na yupo tayari kufa katika battle field hakati tamaa hata kidogo, Chui akiona haelewi tu ni mbio kitu ambacho simba hana ni mara chache ukute battle yao katika open space kwanza chui hana time na simba akishamuona ataendelea na mishe zake ila in real sense ukiwaweka kwenye Cage basi Simba ana likely chance ndogo sana kuchomoka mana Chui yupo na advantage nyingi sana haswa flexibility compare na simba. Tiger ni msala sana wazee ni kama unavyo ona ujinga wa Mbwa kujimwambafai akiwa na binadamu wanakimbiza Paka kwa support ya binadamu na mbwa wako wengi paka ana weza kupoteza ila fungia kwenye cage wawili ndo utajua Mbwa hafui dafu hata kidogo
Mi niliona Nat Geo, very huge and tough nyati vs Simba dume, wee usiombe!Nilishaona battle ya simba vs tiger wakuu sio poa, ilikua hivi wote walikua shimoni sijui waliingia vipi so hakuna aliekua anaweza kutoka yani ulipigwa mkono sio poa ilifikia point tiger alikua hawezi kuamka alikua anapigana kalala chali simba ndo alikua bado yupo active alikua anapigana akiwa bado kasimama ila kajeruhiwa balaa dam zimamwagika. Mwisho wakawa wote wanatazamana. Nilichogundua simba anapumzi kuliko tiger so naweza kusema simba ni habari nyingine anapigana mpaka kufa.