Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,557
- 19,107
Kumbe!? Nilikua sijui hili. Kwahiyo hata mbwa wa kawaida wa nyumbani hawapo kwenye kundi la paka?Mbwa mwitu sio mnyama aina ya paka
Kumbe!? Nilikua sijui hili. Kwahiyo hata mbwa wa kawaida wa nyumbani hawapo kwenye kundi la paka?Mbwa mwitu sio mnyama aina ya paka
Umevuruga tenses ile mbaya. Achana na hiyo lugha mkuu tumia kiswahili tu mbona rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hamna kitu kabisa, akikutana na mbwa mwitu ,anapigwatano, akikutana na fisi anapigwa Tena tano .... Kila pambano yeye ni kupigwa tano.....
Tiger au Chui milia ndio anaowawinda Nile clocodille wale mamba hatari zaidi, Na anamtoa kwenye maji tayari kuwa kitoweo.Sidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguaranapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator
... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth
) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs
mbwa mwitu sio pakaNimependa maelezo haya. Yamechambua vizuri nguvu na udhaifu wa kila mmoja katika aina hizi za paka. Ni kweli Simba hana mzaha linapokuja suala la kupambana. Huwezi ukamtoa nduki kama unavyoweza kufanya kwa Tiger and the like. Utamuua akijilinda huku akitafuta uwezekano wa kukumaliza na wewe
Ila nina swali moja mkuu. Umesema Simba ndio mnyama wa aina ya paka anaewinda kwa pamoja. Je mbwa mwitu hawako kwenye kundi hili maana wao haswaa ndio wawindaji kwa group
Badamu bamemwagika. Lilikua ni pambano la kiume hasa. Hawa viumbe wananguvu almost sawa kila mmoja akiwa na advantages na disadvantages zake. Ila tiger ni mwepesi sio kwa kilo bali kunyumbulika(flexibility) kuliko simbaTiger au Chui milia ndio anaowawinda Nile clocodille wale mamba hatari zaidi, Na anamtoa kwenye maji tayari kuwa kitoweo.
View attachment 1433000
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba sio mkubwa kama Tiger
Kiasili Tiger wanapatikana Asia na Ulaya Mashariki ambayo ni Russia na Tiger wakubwa kbsa wanapatikana Siberia
Tofauti na wa india na kadhalika
Kwenye sifa za kuwinda
Simba ndio paka ambao wanawinda kwa ushirikiano tofauti na jamii nyingine ya paka
Kwenye kupiga simba Tiger wa umri mmoja
Kwanini simba atashinda na Tiger atashindwa
Simba anapigana kwa kutumia mguu mmoja wa mbele na kusimama kwa mitatu iliyobaki wakati Tiger yeye anapigana kwa miwili kwa wakati mmoja na miwili ya nyuma anasimamia
Simba kwenye mapigano anamoyo wakupigana mpaka kifo atakama anajua anashindwa lakini Tiger hanauwezo huo wakupigana kwa muda mrefu
Simba dume ana mane nywele za pale shingoni ile nisilaha tosha kwake inamkinga zidi ya Adui wakati Tiger hana hizo
Simba kwa kimkakati anauwezo mkubwa sana wakumpiga Tiger kuliko mikakati ya Tiger kwakuwa Tiger sio mvumilivu kama simba
Ukitaka kujua Roho ngumu ya simba ..Dume moja la simba lipo tayari kupigana na madume manne akijua kbsa hanauwezo ila analinda Heshima yake mpaka umauti unamkuta ,kwa hiyo simba amepewa sifa za ziada ambazo nitofauti na paka wengine
Pia tambua simba anaona usiku mara nane ya binamu kwa usiku
Tambua kuwa simba Dume anapounguruma sauti yake inasikika mile 8
Tambua pia simba nipaka wanaoishi kaya ambapo wapo mashangazi mabibi mama na watoto mabinamu na Baba zao na ni mwiko mwanaume kumpanda Mama au Dada yake tofauti na paka wengine
Pia tambua simba ndio paka pekee ambao wakiamua leo wale mnyama wanayemtaka wanafanya hivyo mfano tembo twiga nk
Simba jike watoto wao wanaruhusiwa kunyonya kwa mama yoyote wakaya yao na mtoto analindwa na kina mama wote atakama sio wake
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, Simba dume na Tiger dume wakipambana Simba ataipata, Tiger ni mnyama anayeishi Solitary kama chui anavyoishi (yaani ni mnyama anayeishi peke yake), ukiwakuta wawili basi watakuwa ni jike na dume na jike amemfuata dume ili "apigwe mashine" baada ya hapo kila mmoja utafuta ustaarabu wake.
Katika kuwinda Tiger huwinda peke yake, Tiger mmoja peke yake anaweza kumuua AUGUR (aina ya nyati waliopo India) hii ni tofauti na Simba ili aue nyati wanatakiwa wawepo sio chini ya simba wawili. Tiger anayo kasi kubwa, nguvu na uzito kuliko simba na anapowinda asilimia kubwa ni lazima apate tofauti na simba akiwinda peke yake, kifupi Tiger ni mpambanaji peke yake (a lone starring) tofauti na Simba ambao kwa tabia huwinda kwa kundi hasa majike, Tiger anaweza kuogelea na anapopigana na mwenzake huweza kusimama kwa kutumia miguu ya nyuma pekee na kutumia miguu ya mbele kama silaha hii ni tofauti na simba ambaye hawezi kusimama kwa miguu ya nyuma pekee, hivyo ukiwapambanisha simba na Tiger, Tiger anayo nafasi kubwa ya kumpiga simba na hasa simba jike kwani yeye hana manyoya ya kumkinga usoni (mane) kama ilivyo kwa Simba-dume.
Hitimisho langu ni hili; ninampa Tiger 70% ya Ushindi dhidi ya 30% ya ushindi wa Simba.
Japo Simba ni "Baba lao" ,![]()
NB:Tahadhari na Corona vaa barakoa![]()

eti kupigwa mashine
eti kupigwa mashine
Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..![]()
NiceSimba sio mkubwa kama Tiger
Kiasili Tiger wanapatikana Asia na Ulaya Mashariki ambayo ni Russia na Tiger wakubwa kbsa wanapatikana Siberia
Tofauti na wa india na kadhalika
Kwenye sifa za kuwinda
Simba ndio paka ambao wanawinda kwa ushirikiano tofauti na jamii nyingine ya paka
Kwenye kupiga simba Tiger wa umri mmoja
Kwanini simba atashinda na Tiger atashindwa
Simba anapigana kwa kutumia mguu mmoja wa mbele na kusimama kwa mitatu iliyobaki wakati Tiger yeye anapigana kwa miwili kwa wakati mmoja na miwili ya nyuma anasimamia
Simba kwenye mapigano anamoyo wakupigana mpaka kifo atakama anajua anashindwa lakini Tiger hanauwezo huo wakupigana kwa muda mrefu
Simba dume ana mane nywele za pale shingoni ile nisilaha tosha kwake inamkinga zidi ya Adui wakati Tiger hana hizo
Simba kwa kimkakati anauwezo mkubwa sana wakumpiga Tiger kuliko mikakati ya Tiger kwakuwa Tiger sio mvumilivu kama simba
Ukitaka kujua Roho ngumu ya simba ..Dume moja la simba lipo tayari kupigana na madume manne akijua kbsa hanauwezo ila analinda Heshima yake mpaka umauti unamkuta ,kwa hiyo simba amepewa sifa za ziada ambazo nitofauti na paka wengine
Pia tambua simba anaona usiku mara nane ya binamu kwa usiku
Tambua kuwa simba Dume anapounguruma sauti yake inasikika mile 8
Tambua pia simba nipaka wanaoishi kaya ambapo wapo mashangazi mabibi mama na watoto mabinamu na Baba zao na ni mwiko mwanaume kumpanda Mama au Dada yake tofauti na paka wengine
Pia tambua simba ndio paka pekee ambao wakiamua leo wale mnyama wanayemtaka wanafanya hivyo mfano tembo twiga nk
Simba jike watoto wao wanaruhusiwa kunyonya kwa mama yoyote wakaya yao na mtoto analindwa na kina mama wote atakama sio wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiger sio chui mkuuKwa mimi naona tiger is better
Huyu tiger anauwezo wa kuingia kwenye mto na kumchukua mamba akiwa mle mle kwenye maji jambo ambalo sio rahisi ukizingatia na kwamba nguvu ya mamba ni maji lakini si kwa chui
Halafu hata skills za uwindaji chui yuko vizuri zaidi, kama silaha basi naweza kumfananisha na AK47 wakati simba namfananisha na gobole
Action za chui ni noma hadi ndege anawinda, yani anajiviringa juu huko huko aliko ndege kisha anamdaka kwa mikono kama mtu
Simba dume ndo kabisa hata kuwinda halijui lenyewe kula kulala tu kazi zote limemuachia shemu
Hapana mkuu, simba wameumbwa kupigana (warrior cat) na tiger ameumbwa kuua (killer cats).Jamani ebu acheni kumfananisha Lion King na vitu vya kijinga.mnataka kuniambia kuwa waliyomwita ilo jina walichukua rushwa?.huyu jamaa katika dictionary yake uwa hakunaga neno (kumkimbia mpinzani), hata uyo mamba uwa anakimbia akijua kuwa kaingia kwenye 18 za Lion king
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani hasa?Tiger sio chui mkuu
Ni nani hasa?
Nakurekebisha ,kiboko(hippopotamus) ndiye mnyama mwenye mng'ato wenye nguvu zaidi duniani (strongest bite on earth).Sidhani kama uko sahihi huyo unaemsema wewe anaitwa jaguaranapatikana marekani ya kusini huyo unaemuita mamba ni alligator
... tiger kwa asili anapatikana Asia ... na kwa taarifa tu hakuna mnyama anaeweza kufanya huo upumbavu wa kuwinda mamba mtoni ( the strongest bite on earth
) Hakuna mnyama anaeweza kuwinda hawa jamaa nile crocodile au salt crocodile labda alligator they’re more like lizards than mazafaka crocs
Big upMkuu hawa familia ya paka (cat family/ felines) wapo kadhaa, tukianzia;
1- Domestic cat ---paka wa nyumbani.
2- Lion
3-Tiger
4-leopard
5--puma (Cougar),mountain lion.
6-cheetah
7-Jaguar
8-Sphynx--- huyu hana manyoya.
9-Bob cat - huyu mkia wake kama mbuzi.
Wanaopatikana Africa ni # 1,2,4,6 na 9