Simba vs setif live hapa

dkk 44 1-0 warabu wanashambulia kimahesabu. Katika dkk 1 kaseja kadaka mara 2. go gogogo tunakosa
 
simba wanafanya shabulizi sasa kipa anaokoa. kaseja anaokoa tena counter attack
 
half time tayari ila simba wanatakiwa wafanye mashambulizi ndiyo njia pekee ya kulinda lango . setif wanashambulia kama nyuki
 
Half time, KAseja nampa 5. Hii kadi nyekundu ni ya halali jamani?

ile kadi ni halali maana hawakuwa na mpira . Njoso kampiga pepsi wakati wakitembea tu.wachezaji wetu hawako makini haiwezekani unafanya foul kama ile halafu uko ndani ya miguu sita toka golini. kwanza refa katuhurumia sana ilikuwa penalti hata hivyo ila kilichosaidia ni kuwa mchezaji wa setif alifanya reaction ndilo limesaidia naye kupewa kadi ya njano
 
mechi kama hizi unahitaji kuwa na mabeki aina ya victor costa wa zamani ili wacheze kwa utulivu
 
Back
Top Bottom