shabhibhii nafwa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 300
- 148
Simba mdebwedo, Mbeya City na Yanga ndio habari ya mjini.
Simba kiwango cha chini,.mpira gani ule hata penalt mnakosa.
Tuna nafasi 10 tu Yanga mje kwa mkopo. Karibuni sana, mikia kimyaaaaaaaaaaaaaaa
ww nakuhurumia mtakuja sokoine utanuna sn make naona unamcheka mpumbavu mwenzako. hahaaaaaaaaaaaa. yanga nanyie mtananihiwa. ushafika mlima nyoka kwa tenende cc hatunogi hata kwa mchuzi wa samaki sisi ni sungwe