grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
TP Mazembe 1 Azam 0. Full time.Wanaofuatilia game ya tp mazembe vs azam watujuze tafadhali.
TP Mazembe 1 Azam 0. Full time.Wanaofuatilia game ya tp mazembe vs azam watujuze tafadhali.
ngoja nikuulize...tangu ligi imeanza mmecheza mechi ngapi na point ngapi.......
Nimeumia sana has jamaa kufungwa, lakini nahisi kuna tatizo, labda hawamtaki tena kocha
kumbukeni hata hao tunaocheza nao wanataka ushindi na nawapa hongera zao Mbeya City
lol nawewe nilijua hutokatisha hapa, nikasema lazima nimwite apite aone furaha yetu.