Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Attachments

  • B8fa2ddIgAAcY3k.png
    B8fa2ddIgAAcY3k.png
    24.8 KB · Views: 97
La kuvunda halina ubani!

Lililovunda Lazima linuke tu hata kama lingepigwa ubani na perfumes za kufa mtu!

Hahahaaaaa aisee hawa jamaa walitusumbua sana walivyoshinda mapinduzi cup.
Leo siwaoni kabisa.
 
Hahahaaaaa aisee hawa jamaa walitusumbua sana walivyoshinda mapinduzi cup.
Leo siwaoni kabisa.

Mchana huu wamesinzia maana usiku hawakulala kabisa. Wengine walisimama kitandani bila kulala usiku kucha.
 
Mkuu proisra una hoja ambazo zinastahili kusomwa na kujadiliwa. Hata hivyo post yako umeiweka mahali pasipostahili, hapa ni michezo tu.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa aisee hawa jamaa walitusumbua sana walivyoshinda mapinduzi cup.
Leo siwaoni kabisa.

Hawa jamaa nawawekea huruma sana manake sijui Minziro watampa nini ili akubali kuaachia point 3!!!! mikia fc itashuka daraja mwaka huu.
 
Hahahahahaha!! Nimecheka sana aisee!! Pole mtani ndio ushindani huo. Hahahahahaha, nini sasa kimesababisha ulale kwa kusimama mkuu?
yaani kila nikilala kifudifudi naona jinsi penati inavyogonga mwamba, halafu namuona Manyika akimlaza mtu, ni kama vile nikisimama napata ahueni (sioni mauzauza)
 
Hawa jamaa nawawekea huruma sana manake sijui Minziro watampa nini ili akubali kuaachia point 3!!!! mikia fc itashuka daraja mwaka huu.

Minziro ni kocha wa makocha, hapokei rushwa, mikia lazima awakalishe. Mgambo nao watatoa draw na mikia. Kwa mechi 2 zilizosalia mikia wana matumaini ya kupata pointi moja kutoka kwa Mgambo Shooting. Kwa matokeo hayo, hadi nusu ya msimu inakamilika watakuwa wamejikusanyia pointi 14 kwa michezo 13.
 
Muhubiri 7;14

Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.

cc Makoye Matale
 
[h=2]1 Wathesalonike 4[/h]18 Basi, farijianeni kwa maneno hayo.





​


Muhubiri 7;14

Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.

cc Makoye Matale
 
Muhubiri 7;14

Siku ya kufanikiwa ufurahi, Na siku ya mabaya ufikiri. Mungu ameifanya hiyo moja kwenda sambamba na hiyo ya pili, ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.

cc Makoye Matale

Nimekupata vizuri Mkuu.
 
ili mwanadamu asipate kulijua neno lo lote litakalofuata baada yake.

Mbeya City vs Yanga ....................................
 
Mkuu proisra una hoja ambazo zinastahili kusomwa na kujadiliwa. Hata hivyo post yako umeiweka mahali pasipostahili, hapa ni michezo tu.

Huyu jamaa alijua anachangia kule kwenye jukwaa la siasa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom