Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

Simba vs Mbeya City: kutoka Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam

aliyetangulia katangulia sembo!

Kama ingekua hivyo, mechi ya leo tungeshinda maana tulitangulia kufunga goli, ila mwisho wa siku matokeo ndo kama ulivyoona.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
mbeya city waliingia mjini wakakimbilia kisarawe wakawa wanafanya mazoezi uwanja wa minaki secondary kwa siri huku mjini simba wakawa wanazunguka kila hoteli kuwatafuta mbeya city ili wawaloge bila mafanikio
 
Ndimu imeanza, Serenkuma (Mrisho Mpoto) anakosa goli la wazi kabisa hapa...

Hilo jina ulilotaja limeanza kunifanya niichukie siku yangu. Aliyemsajili huyu mtu atakuwa ana maslahi yake binafsi na siyo ya timu.
 
Kwmanamwona hansope alivyokuwa akipishana nawenzake chooni kilamara,log chezea mbeyacity wedaaaweraaaaaaaaaa
 
Hakunachaserumaku walaserujicho loh alijisema mwanasimba wachezaji wauganda nakenya wanakuja kwa ajiliya dili siuchezaji nimeapa kuanzia Leo tutawasachi vilivyo airport wawewanaenda amalah wasijetuchidibenzi labdawapande spider
 
Wanasimba wengi wamekasirishwa sana na matokeo ya leo pamoja na mwendo wa kusuasua wa timu yao. Sasa wamepanga kumfukuza Kapuno na kuleta bonge la kocha kutoka nchi jirani rafiki na Tanzania kama anavyoonekana katika picha. Nani anaweza kumtambua huyu?
 

Attachments

  • New Simba Coach.png
    New Simba Coach.png
    24.1 KB · Views: 371
Jamani! Kufungwa kupo, sio kwamba tumeshuka daraja, kwani toka Mapinduzi cup tumefungwa mechi ngapi?? Hii si ndo ya kwanza?


ngoja nikuulize...tangu ligi imeanza mmecheza mechi ngapi na point ngapi.......
 
Mkuu kinachofanya niwe pissed ni kupewa life line ya bure kupata droo.Kwani haikuwa hata indisputable penalty. Penalty ya kiushkaji. Ili usiadhirike unakosa. Timu inahitaji maamuzi magumu kwa wachezaji fulani.Kufurahia kuifunga Yanga ni ujinga unaopaswa kuachwa.
Nahisi kuna wachezaji walikataa kwenda kupiga ile penati na kwa sababu Chollo ni senior player na alishawahi kuwa nahodha akakubali kuchukua lawama, Mkude na Awadh ni wapigaji wa penati wazuri sana ila kutokana na muda uliokuwa umebaki hawakutaka lawama. Pamoja na yote, timu leo imecheza chini ya kiwango na wachezaji wanatakiwa wajue kuna mamilioni ya watu wako nyuma yao, inabidi wajue kuna watu wanakufa kwa ajili ya uzembe wao, juzi juzi tu kwenye kombe la mapinduzi kuna mshabiki amekufa.
 
Tunachekana kiutani lakini ndio viongozi wetu Mkuu. Kocha akikubali kupangiwa timu ndio mwisho wake. Baadaye jumba bovu ataangushiwa yeye na hataweza kusema nilikuwa napangiwa timu. Too late!

na hilo ndilo tatizo kubwa simba la kumpangia kocha timu..mwenyekiti wa simba anazidiwa kete na yule jamaa mweupe mnene anaiongoza simba tokea mlango wa nyuma....halafu hivi walishamalizana na simba ukawa?
 
Back
Top Bottom