wacha kunifurahisha bana....wamekosa kweli!!!Dakika ya 96...Ziliongezwa 3
Simba wanakosaaaaaaa
Hahaaaaaaa
Haya tumekusikiaFull Time:
Simba SC 1 - Mbeya City 2.
Hongereni Mbeya City,
Hahahahaaaa mikia wamekosa penalt, katika dakika 1 ya mwisho.
Mwisho kabisa nina furaha sana, sana tena sana. Yaani kama Yanga ndio imeshinda uwiiii jamani nina furaha hahahahah
Huyo ni simba... tena wa serengetiii...Kwani wewe ni simba? kama dakika 1 tu bado.
kweli wa moja havai mbili...na mtoto halali na hela!!pamoja na kigoli cha mapema wamenyolewa sharubu kwa chupa!!!Full Time:
Simba SC 1 - Mbeya City 2.
Hongereni Mbeya City,
Hahahahaaaa mikia wamekosa penalt, katika dakika 1 ya mwisho.
Mwisho kabisa nina furaha sana, sana tena sana. Yaani kama Yanga ndio imeshinda uwiiii jamani nina furaha hahahahah
FT: Simba 1-2 MCC. Ndaga figo Mbeya City.
kweli wa moja havai mbili...na mtoto halali na hela!!pamoja na kigoli cha mapema wamenyolewa sharubu kwa chupa!!!
Haya tumekusikia
Utawasikia mnyama... YAANI ANALIWA TUUUU...... Mnyama anapikwa tu... Mnyama ananyamwa chomaaa tuu.. mnayama anakaangwa tuuuYaani tena bila maji, huku wamesimama. Wengine wanalia kwa kukosa penalt.
Mikia mukuje hapaaaa
Eti nini Makoye Matale mkolaj Bantu lady
naomba matokeo aliyoweka Makoye Matale siyaamini.
cc Masuke.
Full Time: