Unamdanganya nani? Azam kakutana na vibonde wa S. Sudan, hukumbuki Wau Salaam walivyovuna mabao mashindano ya Kagame? Simba kashatikiswa kwenye tiGO, nyumbani na ugenini, sasa wewe unafikiri hatujui, uanaume wa hizi timu uko wapi? Kalale mapema.
yaani wangeenda wale wasene wanaopiga waamzi wangetandikwa sita hizo timu mbili ndizo zilizoaminiwa tofauti na hpo ilikuwa aibu kubwa..
sunsu anakosa goli la wazi
sunsu anakosa goli la wazi
wasiruhusu goli lingine tu lakini kuwatoa hao jamaa ni maajabu..beki ya simba tangu aondoke kelvin haijatulia kabisa..
Mkuu, Simba kacharazwa, tafadhali kalale, unatutafutia 'ban'.
yaani wangeenda wale wasene wanaopiga waamzi wangetandikwa sita hizo timu mbili ndizo zilizoaminiwa tofauti na hpo ilikuwa aibu kubwa..
Simba ameshalambwa kimoja mkuu.
Wameenda Angola wakiwa na kupe sasa jamaa wamemkuna katoa kitu!!!!!!!
ni kweli maji uwanjani yanaharibu utamu .
Lakini sidhani kama ni kutokana na Kevin Yondani. Msimu uliopita Yondani alisusia mechi nyingi tu akaenda kwao Mwanza na bado Simba ilibaki na ukuta imara. Kama tatizo ni beki, mbona Simba hairuhusu mabao mengi kivile? Kwa nini forward nayo haifungi mabao? There must be something else..beki ya simba tangu aondoke kelvin haijatulia kabisa..
kalale wewe binafsi kufungwa kwa simba siyo ajabu ni kitu nilicho kitalajia hata kwenye ligi hatuna jipya ila kwa ligi ijayo tutakuwa na timu nzuri sana labda tuuze kama arsenal..